Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally kuongea na Mabalozi tarehe 15 Oktoba 2020

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally kuongea na Mabalozi tarehe 15 Oktoba 2020

Anajua kiingereza? Maana wasomi wa awamu hii ni takataka kabisa viingereza vyao msikilize prof ndalichako na jiwe utajificha chini ya meza.....

"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Endeleeni na upuuzi wenu, sisi tunasonga mbele kwa kishindo zaidi na safari hii mitano hii itakuwa bora zaidi
 
ASKARI POLISI AKIMTIA KIDOLE CHA MAKALIONI ESTHER MATIKO
 

Attachments

  • Screen Shot 2020-10-15 at 08.24.46.png
    Screen Shot 2020-10-15 at 08.24.46.png
    48.8 KB · Views: 2
Halafu tutawaambia ambia na ndugu zenu huko nyumbani kuwa hapa kila kitu kipo mahali pake. CCM ina magwiji wa siasa. Tulikuwa tunamuangalia tuu Mr. Much Know akijiona kamaliza kumbe tunamuandalia roba ya mbao vile comrade Bashiru anaongea polepole kila neno litapenya kwenye ngome za masikio ya mabalozi
Buku saba huna hata umakini mpaka unajiquote mwenyewe na kujijibu!Hapo utakuwa umesahau kuswitch kwenye ID yako nyingine ya Next Man
 
Bashiru atakuwa na wakati mgumu sana kutetea ufedhuli unaofanywa na chama chake kwa vyama vya upinzani hadi kuandaa intarahamwe kuwafanyia wapinzani ugaidi.
 
Unafanyaje utani kwa kudhalilisha watu?
Wewe ndio umeluchukua hilo kiuanaharakati maandazi, we unewasikia wanawake wenye ngozi nyeusi wakilisemea hilo? Hivi mbona mnapenda sana kuvuruga? Hamtaki watu wawe na amani kabisa
 
Tunaenda kuliziba tundu kwa kujaza ukweli na kuliwekea mfuniko mzito na hatimaye kulifunga kwa makufuli
Kwa hiyo anaenda kuongea na mabeberu pia. Hakuna wasichokijua kwa taarifa yake huyo mkimbizi wa kitusi anayemwakilisha mkimbizi wa kihutu
 
Nadhani atajikita zaidi kueleza mafanikio ya matumizi ya dola miaka 5 ya magufuki na hasa vipindi vyote vya chaguzi za marudio uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu huu
 
kwanza ni dharau mabalozi kwenda kumsikiliza mganga njaa kama Bashiru,mimi ningekuwa balozi ningetuma muwakilishi au sihdhurii kabisa
 
Umekosea kuswitch ID msukule wewe!
Basi sawa bibi mchawi ila tambua huko nafanyiwa maombi na soon uchawi wako wa kuiloga nchi hii na kutuchukua misukule utaisha

NB: hawezi kiumbe wa kawaida kuwasiliana na msukule isipokuwa yule aliyemchukua msukule na Gwaj boy pekee😂😂😂
 
Basi sawa bibi mchawi ila tambua huko nafanyiwa maombi na soon uchawi wako wa kuiloga nchi hii na kutuchukua misukule utaisha

NB: hawezi kiumbe wa kawaida kuwasiliana na msukule isipokuwa yule aliyemchukua msukule na Gwaj boy pekee😂😂😂
We msukuke wa lumumba sijui hata unaongea madudu gani hapa!Endelea kulamba viatu vya mabwana zako wanaokupa kula hapo Lumumba!
 
That sentence is grammatically correct. I don't see anything wrong with it. His Excellency employed some art in his language while communicating to his fellow. This is called literature.
Your excellency i am preaching to you...but you are not reachable...!
 
Kwani Bashiri ndo mgombea urais, aache kimbelembele...tunamtaka yule mzee wa "we are suppose""we are suppose""we are suppose"
CCM mgombea huwekwa na chama bna chama ndicho msemaji wake kwa mambo yote tofauti na CHadema ambapo unakuta mgombea hata akichemka chama kikipelekewa barua kinakataa kinasema kamupeni hiyo barua mwenyewe!!!!
 
Back
Top Bottom