Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally kuongea na Mabalozi tarehe 15 Oktoba 2020

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally kuongea na Mabalozi tarehe 15 Oktoba 2020

Hawa CCM wana Akili Sana Moves zao zina impact kubwa kwenye kuwaletea Ushindi

Lakini Hata hivyo CCM watashinda No way Hata tufanyaje yani

Najua Mtanitukana hapa[emoji28][emoji28]
Ndoto nyevu zinakusumbua
 
Mgombea vipi? Au tatizo lugha ya malkia haipandi😃😃😃😃😃
 
Tarehe 15 Oktoba, 2020, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, atakutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini.

Mazungumzo hayo yatafanyika Ofisi Ndogo za Makao Makuu Lumumba jijini Dar es salaam kuanzia mida ya saa nne asubuhi.

Vyombo mbalimbali vya habari vinaalikwa kufuatilia na kuhabarisha Umma katika mazungumzo hayo.

Imetolewa na;
Said Said Nguya
Afisa Habari
Ofisi ya Katibu Mkuu
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
14 Oktoba, 2020
Hao Mabalozi wajiandae kudanganywa sana Leo na kupewa vitisho uchwara!
 
Mabalozi karibuni Sana Chama Cha kupigiwa mfano Afrika.

Chama kilichoshiriki kuzipatia nchi nyingine za Afrika Uhuru wake.

Hivyo unapozungumza neno UHURU CCM ndiko mahali pake.
Chama kilichoshiriki mauwaji ya Ben
 
Kuna watu sijui ilikuwaje wakazaliwa.
Imagine CCM ilivyowafukarisha Watanzania kwa miaka 60 sasa lakini hawalali usiku kucha kuhakikisha CCM haiondoki madarakani
Natamani watu kama wewe bao lake liwe nyeto, huna faida duniani kinyaia mkubwa na pimbi. Yaani huna uzalendo kabisa unashabikia tapeli, kibaraka ndiyo apewe nchi, una akili timamu??? Yaani hata kama huyo pimbi wenu kibaraka angeshinda atafanya kazi na vyombo gani vya ulinzi na msaliti wa nchi anayejulikana kabisa kajipanga kuuza kila kitu na kuhakikisha nchi yetu inakosa maamuzi yake inakuwa chini ya umiliki wa wazungu, yaani watu kama nyie mnatumalizia oxygen
 
Hao Mabalozi wajiandae kudanganywa sana Leo na kupewa vitisho uchwara!
Wataambiwa pia jinsi mbowe alivyojaribu kumuua lisu, pia na ushahidi wa vikundi vya ugaidi alivyoandaa lisu kwa video na audio
 
Hawa CCM wana Akili Sana Moves zao zina impact kubwa kwenye kuwaletea Ushindi

Lakini Hata hivyo CCM watashinda No way Hata tufanyaje yani

Najua Mtanitukana hapa[emoji28][emoji28]
Move zao zinaimpact kivipi fafanua tupate faida
 
Anajua kiingereza? Maana wasomi wa awamu hii ni takataka kabisa viingereza vyao msikilize prof ndalichako na jiwe utajificha chini ya meza.....

"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
 
VIDEO YA ASKARI POLISI AKIMTIA KIDOLE CHA MAKALIONI ESTHER MATIKO

Screen Shot 2020-10-15 at 08.24.46.png
 
Nilisema na ninarudia tena, acha kubeba kichwa hicho kama pambo. Nenda Mbeya mjini, Arusha mjini na Ubungo. Fanya maeneo hayo kama sampo.

#maendeleohayanavyama

Mzito Kabwela, sisi ni taifa huru, hatuogopi kwani hakuna tulipokosea. Tumetekeleza kwa kishindo, tunasonga mbele pamoja
sasa kama mpo huru mbona mnaweweseka
 
Back
Top Bottom