Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally kuongea na Mabalozi tarehe 15 Oktoba 2020

Balozi wa Marekani aliomba kukutana na vyama vyote vya siasa kwenye ofisi zao .Chadema wakaona aibu asifikie hapa wakasema mtu wao ataenda huko huko ubalozini

Pesa zote za ruzuku na michango zimeishia kuliwa wamebaki kijumba hiki cha kupangisha


 
Yale mapick-up yao moja tuu inajenga ofisi Kama hizo Mbili. Sijui wanakwamia wapi? Au n masharti ya sangoma?
 
Endeleeni na upuuzi wenu, sisi tunasonga mbele kwa kishindo zaidi na safari hii mitano hii itakuwa bora zaidi
Usipanic bro kwani ww ndio hujui Kiingereza?

Anajua kiingereza? Maana wasomi wa awamu hii ni takataka kabisa viingereza vyao msikilize prof ndalichako na jiwe utajificha chini ya meza.....

"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
 
That sentence is grammatically correct. I don't see anything wrong with it. His Excellency employed some art in his language while communicating to his fellow. This is called literature.
Hahaha you should be teaching him public communication , he seems to loose confidence every time he gets a guest who speaks English.

He needs some speech lessons.
 
Jana Katibu Mkuu wa CCM alikaririwa akiwahakikishia mabalozi kwamba uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanywa October 28 utakuwa huru na wa haki.

Miezi michache iliyopita Rais Magufuli alitoa kauli kama hii kwa mabalozi ikulu ya Dar. Kauli hizi zilitakiwa zitolewe na NEC na siyo chama cha siasa.

Je, kwa kutoa kauli kama hizi inatia taswira kwamba CCM ina maamuzi ndani ya Tume ya Uchaguzi?
 
CCM ni chama tawala hivyo kinawajibu wa kutoa muelekeo
 
Anaongea na mabeberu wa nini, wakati wanahujumu nchinyetu na wanamtumia Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…