Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama anajua kwamba polisi wamekamata kwa utaratibu asingeongea hivi.
 
CCM wanambinu kali hapo wameligeuza la siasa ili polisi waonekane wamekosea

USSR
Prof Kindiki : Mimi ni Mwanasiasa kama Polisi wameuwa Watu washughulikiwe kwa mujibu wa sheria Kila Mtu atabeba Msalaba wake mwenyewe mimi siwezi Kujiuzulu Uwaziri
 
Hata hivyo wameshakula hasara, hata pocket money zimeisha, na ukumbi waliolipia muda wake umeisha, pia hata costa walizokodi muda waliolipia kukaa nazo umeisha, utabidi walipe tena
Serikali itazicheua hizo gharama.
 
Mpaka waandishi wa habari wanakamtwa?
 
Kuna harufu naihisi.
Agizo la kukamata linaonekana kutolewa kimya kimya mafichoni ila agizo la kuachiliwa latolewa hadharani.
 
Ccm wapo kwenye hatua ya kuhujumiana kwa maslahi yao kwa wao.Hivyo wasiwachefue wengine,wamalize yao kivyao.
 
Sawa ila mwenyekiti wa cdm walishafunga ndoa na chama tawala kwa kufutiwa kesi ya ugaidi na kuna madai ameongwa kama alivyosema Tundu.

Kilichofanyika pale mwenyekiti kujifanya wapo pamoja na kundi la Tundu akamatwe lengo kupoteza maboya watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…