Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo ni dalili tosha huwezi kutenganisha CCM na PoliCCM maana moja ni tawi mama na lingine ni tawi dogo.
 
Hiyo ni dalili tosha huwezi kutenganisha CCM na PoliCCM maana moja ni tawi mama na lingine ni tawi dogo.
Wengine wameparangana pakubwa na wanabaki kushangaa sababu nini,ila ulianza upuuzi kama huu na ikafika wakati kila mmoja anaona anaweza mdhulumu mwenzie.
 
Ndiyo maana nasema kinachoendelea kwenye sakata hili ni hujuma kwa Rais Samia ili kuharibu image yake hapa ndani na kimataifa. Kuna vita baridi ndani ya CCM na hii ni mbinu ya kisayansi iliyotumiwa na kundi hasimu kufikia lengo lao huku wakionekana kama wanaisadia CCM kwa kuidhoofisha Chadema ambayo ndiyo chama pekee kinachoonesha msuli wa kupambana na CCM .
 
Serikali itazicheua hizo gharama.
Ngumu sana, Ford Foundation wanaodhamini maandamano Afrika wamekula hasara, cha msingi serikali imeruhusu fedha ziingie kwenye mzunguko, halafu haikufanya lengo lililotarajiwa
 
Kazi ya polisi ni ngumu sana... imagine unatakiwa kutekeleza maagizo hata kaa ni ya kipumbafu, wewe kazi yako ni kupokea lawama za makosa ya watu wengine!
 
Ngumu sana, Ford Foundation wanaodhamini maandamano Afrika wamekula hasara, cha msingi serikali imeruhusu fedha ziingie kwenye mzunguko, halafu haikufanya lengo lililotarajiwa
Hivi hizo Taasisi zikiamua kuiondoa CCM madarakani hamuwezi kuchukua raundi, acheni kuonea Vijana wa Tanzania.
 
Kuna umuhimu wa kulifumua hili jeshi. Maana halina tofauti na lile la Kikoloni, tulilolisoma kwenye vitabu vya Historia.
 
Kuna umuhimu wa kulifumua hili jeshi. Maana halina tofauti na lile la Kikoloni, tulilolisoma kwenye vitabu vya Historia.
Kulaumu polisi ni kupindisha hoja. Jeshi la polisi linafuata amri ya dola iliyo madarakani duniani kote.
 
Aibu
 
Wameipa Chadema Millage bils sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…