Hata Sauli aliongoka.Afuate ushauri na auze mali zake zote awagawie masikini.Kisha,aubebe msalaba wake na kuifuata nuru.Nakuomba usome vesrsi hii katika Biblia:
2 Wakorintho 6:17-18
17. “Hivyo tokeni nje kati yao na jitengeni nao, asema Bwana. Msishike chochote kilicho kichafu, nami nitawakaribisha.
18 “Nitakuwa baba yenu, nanyi mtakuwa wana wangu na binti zangu asema Bwana Mwenyezi.”
NJOO CHADEMA LAKINI CHADEMA HAKUNA HELA ZA KUCHOTA/KUIBA UJUE, NI KAZI YA UTUME YA KUWAKOMBOA WANA WA ISRAEL KUTOKA UTUMWANI
Amen, nawe pia😄😄😄
Nakutakia Dominica njema
Amen, na iwe hivyoHata Sauli aliongoka.Afuate ushauri na auze mali zake zote awagawie masikini.Kisha,aubebe msalaba wake na kuifuata nuru.
Sawa.Lakini,usitoe hela ya "escrow" na za pango ya majengo ya CCM zilizoibwa kama sadaka.😄😄😄
Nakutakia Dominica njema
Watanzania hamjui adui yenu ni nani. Adui ni katiba inayompa rais nguvu zote. Hana hofu ya kuondolewa kwa uchaguzi, hana hofu ya kufungwa, yaani anaweza kufanya chochote. Huyo Nchimbi anauma na kupuliza tu na anajua hakuna mabadiliko bila katiba.Nakuomba usome vesrsi hii katika Biblia:
2 Wakorintho 6:17-18
17. “Hivyo tokeni nje kati yao na jitengeni nao, asema Bwana. Msishike chochote kilicho kichafu, nami nitawakaribisha.
18 “Nitakuwa baba yenu, nanyi mtakuwa wana wangu na binti zangu asema Bwana Mwenyezi.”
NJOO CHADEMA LAKINI CHADEMA HAKUNA HELA ZA KUCHOTA/KUIBA UJUE, NI KAZI YA UTUME YA KUWAKOMBOA WANA WA ISRAEL KUTOKA UTUMWANI
Halafu,wakiambiwa wanasema wanajiteka.Aliyeagiza wakamatwe ni CCM anayeomba waachiwe CCM,
4R HOYEEE
Makamba Team nyie watu wa ajabu sana. Kundi lenu la tamaa ya madaraka zama zenu zimeisha. Endeleeni tu kutapatapa kama mfa maji na Nchimbi analiwa kicha mda siyo mrefu.Nakuomba usome vesrsi hii katika Biblia: