Uchaguzi 2020 Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akanusha taarifa ya kuahirishwa kwa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akanusha taarifa ya kuahirishwa kwa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, kupitia mtandao wa twitter,ametaka watu kupuuza tangazo linalodaiwa kutolewa na chama chake, tangazo linaodai kuwa kampeni za Mgombe Urais wa CHADEMA zimeahirishwa.

Mnyika amesema tangazo hilo ni fake na kutaka lipuuzwe.

Mnyika.JPG
 
Jiwe na vibaraka wake wa Ubaguzi Pumzi zimekata.. wamegundua watu wanafuata wasanii kwenye kampeni zake.. yaani Harmonize na Diamond wanatumbuiza baada ya hotuba..

ndio maana sasa anabuni upuuzi wa hivi ili kupunguza nguvu za Lissu
 
Kuna kitu hujaelewa, ni ni kweli kampeni za jimbo la hai zimeahirishwa kwa siku ya leo.
Alichokanusha mnyika ni taarifa fake yenye sababu fake.
Lissu hawezi kufanya mkutano leo hai kama ilivyopangwa sababu ya kuchelewa kutoka serengeti
... kimsingi Lissu amepiga non-stop; mikutano zaidi ya miwili daily kwa zaidi ya mwezi anahitaji kupumzika. Kwa hili yuko sahihi kuahirisha kampeni Jimbo la Hai. Ila kuna uwezekano pia yuko chimbo anaandaa "paper" ya kuibomoa NEC na vijimaadili vyao fake vya uchaguzi! Siku moja tu inamtosha kuandaa "thesis" ya kumsambaratisha Mahera (PhD) na NEC yake beyond repair. Stay, tuned!
 
Upo sawa, mleta mada kuna kitu kajichanganya.
... kimsingi Lissu amepiga non-stop; mikutano zaidi ya miwili daily kwa zaidi ya mwezi anahitaji kupumzika. Kwa hili yuko sahihi kuahirisha kampeni Jimbo la Hai. Ila kuna uwezekano pia yuko chimbo anaandaa "paper" ya kuibomoa NEC na vijimaadili vyao fake vya uchaguzi! Stay, tuned!
 
Nilikuwa najaribu kufikiria tangu jana, iweje Tundu Lissu atoke mkoa wa Mara pale Mugumu - Serengeti moja kwa moja hadi mkoa wa Kilimanjaro akiruka mkoa wa Manyara na Arusha?

Kwa njia na ramani, ni lazima afanye mkutano Karatu, Monduli ikibidi na Logindo na Loliondo kabla ya kuhitimisha Arusha mjini na Arumeru....

Anyway, hizi ni hisia zangu, siyo lazima uwe ndiyo mpangilio wa wanamikakati wa kampeni wa CHADEMA....
 
Ratiba ilikuwa inamtaka awe hai leo huko kwingine alikuwa anapita tu kama ambavyo alivyofanya jana kupita nyamongo au mfano anavyofanya leo magu kupita ifunda, mafinga, makambako, igawa, chimala na kuelekea mbeya,
hivi ni kwa nini huwa hamfatilii??
IMG_20200929_120340.jpg
 
Back
Top Bottom