Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Pole na manyunyu ya mvua,Hahahaaaa..... Naongea na hapo Machame bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole na manyunyu ya mvua,Hahahaaaa..... Naongea na hapo Machame bwashee!
Toka upotoshe kuhusu mkutano wa Lissu bagamoyo, jukwaa limeshakupuuza. Usitafute credibility kuonekana mpinzani ili eti siku ukikosoa uonekane upo objective.
Vijana tuache unafiki kma ni CCM basi kuwa open kma ni upinzani kuwa open na kma ni neutral kuwa open sio kucamouflage ili kutengeneza credibility for future propaganda attacks.
Shame on U coward
Ina maana leo tutakosa nondo kali za somo la uraia & uzalendo?? Mimi ninawaambia watu kuwa hatutarajii TUMEccm imtangaze hata akipata kura kiasi gani lakini katika kipindi cha miezi miwili TAL atatoa elimu ya uraia na uzalendo kwa umma wa waTz ambayo impact yake itadumu kwa kipindi kingine cha miaka 10 hadi 15. WaTz angaa wataanza kutambua haki na wajibu wao na hatimaye kupigania (sio kuomba) haki zao.Huyo hajazusha ila alikuwa hajaelewa, leo ilibidi lissu awe hai ila hataweza kuwa hapo
Kwani tatizo ni nini?Angalia usijekuta unamtusi anayelala na yule aliyekuleta duniani,utapata laana.
Ww ulisema hakuja sababu hakuna watu kabisa na kwamba mkutano umefutwa amekimbia. Ni hivi ratiba ikiandika 2 hadi saa 12 ina maana unaweza pita muda wowote.Nilichopotosha bagamoyo ni kipi? Mkutano ilibidi uwe asubuhi saa 4 ila ulikuja kufanyika jioni saa 11