Uchaguzi 2020 Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akanusha taarifa ya kuahirishwa kwa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akanusha taarifa ya kuahirishwa kwa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

Nilichopotosha bagamoyo ni kipi? Mkutano ilibidi uwe asubuhi saa 4 ila ulikuja kufanyika jioni saa 11
Toka upotoshe kuhusu mkutano wa Lissu bagamoyo, jukwaa limeshakupuuza. Usitafute credibility kuonekana mpinzani ili eti siku ukikosoa uonekane upo objective.

Vijana tuache unafiki kma ni CCM basi kuwa open kma ni upinzani kuwa open na kma ni neutral kuwa open sio kucamouflage ili kutengeneza credibility for future propaganda attacks.

Shame on U coward
 
Huyo hajazusha ila alikuwa hajaelewa, leo ilibidi lissu awe hai ila hataweza kuwa hapo
Ina maana leo tutakosa nondo kali za somo la uraia & uzalendo?? Mimi ninawaambia watu kuwa hatutarajii TUMEccm imtangaze hata akipata kura kiasi gani lakini katika kipindi cha miezi miwili TAL atatoa elimu ya uraia na uzalendo kwa umma wa waTz ambayo impact yake itadumu kwa kipindi kingine cha miaka 10 hadi 15. WaTz angaa wataanza kutambua haki na wajibu wao na hatimaye kupigania (sio kuomba) haki zao.
 
Nilichopotosha bagamoyo ni kipi? Mkutano ilibidi uwe asubuhi saa 4 ila ulikuja kufanyika jioni saa 11
Ww ulisema hakuja sababu hakuna watu kabisa na kwamba mkutano umefutwa amekimbia. Ni hivi ratiba ikiandika 2 hadi saa 12 ina maana unaweza pita muda wowote.

Tokea kipindi hicho credibility yako imeshuka kabisa. Ulidai Hana mvuto ndio maana alikosa watu Mbagala ila tokea bagamoyo nadhani uliona mafuriko kila alipopita ukaingia mitini kwa aibu.

Nmekudharau sana.
 
Back
Top Bottom