Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ndio maana nilimuita Mnyika aje atufafanulie!Yule Yohana Mbatizaji sijui kaokota wapi zile taarifa?
Umepata unachokitafuta mjulishe boss wako polex2 awagombeze NEC,ikibidi atume chopper ya ccm wampelekee Lissu barua mkononi.Ndio maana nilimuita Mnyika aje atufafanulie!
... kimsingi Lissu amepiga non-stop; mikutano zaidi ya miwili daily kwa zaidi ya mwezi anahitaji kupumzika. Kwa hili yuko sahihi kuahirisha kampeni Jimbo la Hai. Ila kuna uwezekano pia yuko chimbo anaandaa "paper" ya kuibomoa NEC na vijimaadili vyao fake vya uchaguzi! Siku moja tu inamtosha kuandaa "thesis" ya kumsambaratisha Mahera (PhD) na NEC yake beyond repair. Stay, tuned!Kuna kitu hujaelewa, ni ni kweli kampeni za jimbo la hai zimeahirishwa kwa siku ya leo.
Alichokanusha mnyika ni taarifa fake yenye sababu fake.
Lissu hawezi kufanya mkutano leo hai kama ilivyopangwa sababu ya kuchelewa kutoka serengeti
... kimsingi Lissu amepiga non-stop; mikutano zaidi ya miwili daily kwa zaidi ya mwezi anahitaji kupumzika. Kwa hili yuko sahihi kuahirisha kampeni Jimbo la Hai. Ila kuna uwezekano pia yuko chimbo anaandaa "paper" ya kuibomoa NEC na vijimaadili vyao fake vya uchaguzi! Stay, tuned!
Yohana umenza kutumika na watu waliofeli. Hujui u ashusha heshma yako uliyojijengea musa mrefu?Ndio maana nilimuita Mnyika aje atufafanulie!
Hizo kwao ndio mbinu wanazoziita za kisayansi.Yule Yohana Mbatizaji sijui kaokota wapi zile taarifa?
Kwani J J Mnyika kaliona wapi hilo tangazo?!Comrade johnthebaptist utaambia nini watu?
umesababisha mataga wenzako wameanza maandalizi ya sherehe hapo Lumumba.
Ndio maana nilimuita Mnyika aje atufafanulie!
Ratiba ilikuwa inamtaka awe hai leo huko kwingine alikuwa anapita tu kama ambavyo alivyofanya jana kupita nyamongo au mfano anavyofanya leo magu kupita ifunda, mafinga, makambako, igawa, chimala na kuelekea mbeya,Nilikuwa najaribu kufikiria tangu jana, iweje Tundu Lissu atoke mkoa wa Mara pale Mugumu - Serengeti moja kwa moja hadi mkoa wa Kilimanjaro akiruka mkoa wa Manyara na Arusha?
Kwa njia na ramani, ni lazima afanye mkutano Karatu, Monduli ikibidi na Logindo na Loliondo kabla ya kuhitimisha Arusha mjini na Arumeru....
Anyway, hizi ni hisia zangu, siyo lazima uwe ndiyo mpangilio wa wanamikakati wa kampeni wa CHADEMA....
Comrade unaongea na mimi au unaongea na simu?Kwani J J Mnyika kaliona wapi hilo tangazo?!
Hivi maCCM kwanini mmekuwa wazushi kiasi hiki?
Huyu mwamba ni Lumumba fc lakini mada zake mwanzo zilikuwa zinabalnce ,lakini sijui amekengeuka kabisa,Lisu amewaelemea safari hii.Yule Yohana Mbatizaji sijui kaokota wapi zile taarifa?
Hahahaaaa..... Naongea na hapo Machame bwashee!Comrade unaongea na mimi au unaongea na simu?
sasa Comrade na ujanja wako wote unalishwa matango pori na mataga wenzako na wewe unasambaza taarifa?Hahahaaaa..... Naongea na hapo Machame bwashee!