Synonyms MP
JF-Expert Member
- Jun 4, 2024
- 320
- 346
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na kufanya majukumu yote ya Katibu Mkuu wa Taifa.
Wakati huo huo COVID 19 nao wamejiapiza kwa gharama yeyote lazima Mbowe atetee nafasi yake.
Ni Freeman Mbowe asiyeweza kumrudisha Mnyika kuwa Katibu Mkuu ila si Tundu Lissu.
Lissu na Mnyika ndio watu pekee ndani ya CHADEMA walioapa kutokuwarejesha COVID 19 ndani ya CHADEMA.
COVID 19 wanaamini kama Mbowe atarejea tena wakati huu lazima atamteua kamanda Salim Mwalimu kuwa Katibu wake mkuu mpya 2024-2029.
Hata hivyo, hawa COVID 19 wanaamini watakuwa salama zaidi chini ya Mbowe kuliko Lissu.
Pesa inayomwagwa na COVID 19 kuangamiza kila mfuasi wa Lissu na Mnyika ni nyingi kwa uratibu wa Halima Mdee.
Je, huenda huu ndio ukawa mwanzo wa mwisho wa CHADEMA Tanzania?