Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema ndiyo task wanayoiweza zaidi baada ya Ile?TISSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS
Wewe ndo utapasuka intelegesia ya chadema ni makini samaCHADEMA lazima wasambaratike na kupasuka mwaka huu.
Middle menMabadiriko ya kweli hayatakuja kutokea tukiwaendekeza wanasiasa aina ya Mbowe na Zitto, NEVER.
Hawa ni madalali tu
🤣🤣🤣daah ila vijana wa CHADEMA mnachekesha sanaWewe ndo utapasuka intelegesia ya chadema ni makini sama
CHADEMA kwisha habari yao.Mwisho wa udalali wa kisiasa. Ni mwisho wa uchumia tumbo.Wewe ndo utapasuka intelegesia ya chadema ni makini sama
Mbowe hawezi kila siku anahubiri suala la demokrasia alafu ukimwangalia yeye tu unagundua haijui demokrasia au anaijua ila yupo kwa maslahi yake binafsi. Siasa imewekwa kama chambo tu ya kupigia hela. Watu wanaichukia sana CCM ila chadema imekosa agenda sahihi za kuitoa CCM. Inafika hatua watu wanaona basi acha wasubiri mkombozi labda ndani ya Ccm. Kiufupi mbowe anachosha!
🤣🤣🤣Naonaa CCM mmeweka post na ku comment wenyewe. Poleni. Mwamba tuvushe
Huyu aliyepugwa Risasi 16 na Leo ni kilema unasemaje?Kuna mtu mwenye uchungu na chadema "''ambae anatokea kwenye inner cycle ya chadema"" kwa Sasa wa kumzidi Freeman Mbowe.
To be true & correctly Kuna ambao WAMEAJIRIWA kazi yao Ni moja TU kuudhohofisha upinzani na wapo kwenye payroll ya serikali ya CCM............
Fear of unknown kwa mwenyekiti Freeman Mbowe Ni kuachia ngazi hili hato ruhusu mpaka ahakikishe anakiacha chama kwenye mikono SALAMA
LukasCHADEMA kwisha habari yao.Mwisho wa udalali wa kisiasa. Ni mwisho wa uchumia tumbo.
Joined YesterdayTaarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na kufanya majukumu yote ya Katibu Mkuu wa Taifa.
Wakati huo huo COVID 19 nao wamejiapiza kwa gharama yeyote lazima Mbowe atetee nafasi yake.
Ni Freeman Mbowe asiyeweza kumrudisha Mnyika kuwa Katibu Mkuu ila si Tundu Lissu.
Lissu na Mnyika ndio watu pekee ndani ya CHADEMA walioapa kutokuwarejesha COVID 19 ndani ya CHADEMA.
COVID 19 wanaamini kama Mbowe atarejea tena wakati huu lazima atamteua kamanda Salim Mwalimu kuwa Katibu wake mkuu mpya 2024-2029.
Hata hivyo, hawa COVID 19 wanaamini watakuwa salama zaidi chini ya Mbowe kuliko Lissu.
Pesa inayomwagwa na COVID 19 kuangamiza kila mfuasi wa Lissu na Mnyika ni nyingi kwa uratibu wa Halima Mdee.
Je, huenda huu ndio ukawa mwanzo wa mwisho wa CHADEMA Tanzania?
Wako kazini!TISSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS
Prove.Sio tetesi ni kweli,
Kuna hii miti inaitwa mivinje ama cypress. Aisee inawaka vizuri na kwa moto mkali zaidi ikiwa mbichi kuliko kavu kutokana na mafuta mengi iliyo nayo.CCM wanachochea moto 😳
Lakini naona kuni ni mbichi sidhani kama moto utakolea 🙄🤠
Muda utaongea 👁