Pia Makamu Mwenyekiti Chadema anaandaliwa Heche kuchukua nafasi ya LisuSio tetesi ni kweli,
Karibu Mkuu Mwalimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia Makamu Mwenyekiti Chadema anaandaliwa Heche kuchukua nafasi ya LisuSio tetesi ni kweli,
CHADEMA kwisha kabisa kwishaTaarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na kufanya majukumu yote ya Katibu Mkuu wa Taifa.
Wakati huo huo COVID 19 nao wamejiapiza kwa gharama yeyote lazima Mbowe atetee nafasi yake.
Ni Freeman Mbowe asiyeweza kumrudisha Mnyika kuwa Katibu Mkuu ila si Tundu Lissu.
Lissu na Mnyika ndio watu pekee ndani ya CHADEMA walioapa kutokuwarejesha COVID 19 ndani ya CHADEMA.
COVID 19 wanaamini kama Mbowe atarejea tena wakati huu lazima atamteua kamanda Salim Mwalimu kuwa Katibu wake mkuu mpya 2024-2029.
Hata hivyo, hawa COVID 19 wanaamini watakuwa salama zaidi chini ya Mbowe kuliko Lissu.
Pesa inayomwagwa na COVID 19 kuangamiza kila mfuasi wa Lissu na Mnyika ni nyingi kwa uratibu wa Halima Mdee.
Je, huenda huu ndio ukawa mwanzo wa mwisho wa CHADEMA Tanzania?
CHADEMA wamekodisha Bandari kwa dp World?CHADEMA wamewafukuza Wamasai Loliondo na Ngorongoro?CHADEMA wameingi mkataba wa kumiliki madini na bahari kwa Wakorea?Laana ya JPM inawatafuna hawa nguruwe chadema
Mbona nao wanataka kutuvuruga alikua tunamatarajio ya kuiyangusha Dola ya sisiemMUNGU IBARIKI CHADEMA.
Mkuu,What if (I'm just saying what if) Mr Chairman naye yumo kwenye hiyo payroll, huku makubaliano ni kwamba yeye anachuma pesa ilhali Sisiemu yenyewe inavuna utawala?
Impossible, right?
Bado hujasema! Lazima useme kwa lugha, Chadema kiboko cha kuonyoosha CCM!Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na kufanya majukumu yote ya Katibu Mkuu wa Taifa.
Wakati huo huo COVID 19 nao wamejiapiza kwa gharama yeyote lazima Mbowe atetee nafasi yake.
Ni Freeman Mbowe asiyeweza kumrudisha Mnyika kuwa Katibu Mkuu ila si Tundu Lissu.
Lissu na Mnyika ndio watu pekee ndani ya CHADEMA walioapa kutokuwarejesha COVID 19 ndani ya CHADEMA.
COVID 19 wanaamini kama Mbowe atarejea tena wakati huu lazima atamteua kamanda Salim Mwalimu kuwa Katibu wake mkuu mpya 2024-2029.
Hata hivyo, hawa COVID 19 wanaamini watakuwa salama zaidi chini ya Mbowe kuliko Lissu.
Pesa inayomwagwa na COVID 19 kuangamiza kila mfuasi wa Lissu na Mnyika ni nyingi kwa uratibu wa Halima Mdee.
Je, huenda huu ndio ukawa mwanzo wa mwisho wa CHADEMA Tanzania?
Umechambua vizuri sanaMkuu,
Hapa ulimwenguni kuna political maneuvering..
The consequences of political maneuvering😊
* Loss of trust
*Damage of reputation
*Lack of accountability
*Injustice
*Loss of credibility
Hizo Ni baadhi Kati ya hasara zitakazo patikana kutokana na political maneuvering so chama au mwanachama anaweza kujichagulia UPANDE..
Kwani Mimi ni CCM?Bado hujasema! Lazima useme kwa lugha, Chadema kiboko cha kuonyoosha CCM!
Bado watu wapo maana Chama ni Taasisi na siyo mtu.Akitoka huyo watakuja wengine wenye nguvu zaidi,na watafanya vizuri.Mbona nao wanataka kutuvuruga alikua tunamatarajio ya kuiyangusha Dola ya sisiem
Mpango ndio huo Mnyika na Lissu out,Sasa ulitegemea nini Mbowe anamuita Halima Mdee Nairobi kwa siri wakati Halima keshasaliti chama
Unategemea waliongea nini?
Chadema sio taasisi kuwa makini na kauli zakoBado watu wapo maana Chama ni Taasisi na siyo mtu.Akitoka huyo watakuja wengine wenye nguvu zaidi,na watafanya vizuri.
Heri kilema cha mguu wa Lissu kuliko ulemavu wa ubongo wako!Huyu aliyepugwa Risasi 16 na Leo ni kilema unasemaje?
Pesa na mali zinatafutwa vipi kuhusu mguu wa Lissu ataurudisha siku moja?
Hujaelewa nilichoandika soma vizuriHeri kilema cha mguu wa Lissu kuliko ulemavu wa ubongo wako!
Mungu ni wake simamieni haki mtamwona MunguMUNGU IBARIKI CHADEMA.
100%✓CDM wakishindwa kumwondoa Mbowe ndio mwisho wa chama chao, watakuwa kama TLP.
Acha ujinga wewe CHADEMA kipo tangu 1994 hadi sasa na kina wanachama wengi kuliko vyama vyote vya upinzani Tanzania vilivyotangulia na vilivyopo sasa.Niko makini sana mimi siyo mtu wa kupelekeshwa na kejeli za kijinga ninachoamini ndiyo hicho.Damu yangu ni Group O siwezi yumbishwa na kauli za hovyo za Kimagufuri au za Kimakonda au za Lucas mjaza kurasa zisizo na faida kwa wasomaji.Chadema sio taasisi kuwa makini na kauli zako
CHADEMA inakufaAcha ujinga wewe CHADEMA kipo tangu 1994 hadi sasa na kina wanachama wengi kuliko vyama vyote vya upinzani Tanzania vilivyotangulia na vilivyopo sasa.Niko makini sana mimi siyo mtu wa kupelekeshwa na kejeli za kijinga ninachoamini ndiyo hicho.Damu yangu ni Group O siwezi yumbishwa na kauli za hovyo za Kimagufuri au za Kimakonda au za Lucas mjaza kurasa zisizo na faida kwa wasomaji.