Tetesi: Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi

Mbona kama umepanik ukatoka nje ya mada
 
Shida nini?
 
Hoya shtuka mwana unaenda kunya kitandani SI muda hicho sio choo unaota!!
 
Nadhani ni ukabila ndani ya chama, nadhauri ahame chama
 
Ndio maana tulisemaga chadema ni manyumbu. Chadema mbona ni kampuni ya wachaga na saa hizi inajulikana na wao nimali ya mbowe. Sijui kwa nini hamjiongezi wanachadema.
 
Kumekucha
 
JJ Mnyika sii mchezo...
1. JJ. Mnyika ametoa maoni ya jumla ya Chadema, wametaka miswada yote iondolewe kwanza, serikali ilete kwanza marekebisho madogo ya katiba, minimum reforms, katiba ifanyiwe mabadiliko kwanza ndipo miswada hiyo iletwe.
View: https://youtu.be/CRLiQjOQpro?si=6xgfm7aBX7Lvo0wQ
2. JJ Mnyika amethibitisha jinsi maridhiano na CCM yalivyo isaidia Chadema, ambapo mwanzo waligoma kuutambua uchaguzi na kuyatambua matokeo, lakini kupitia maridhiano sasa Chadema inautambua uchaguzi, inayatambua matokeo ya uchaguzi, inamtambua mshindi halali wa uchaguzi huo, inalitambua Bunge na kumtambua Mbunge wake mmoja tuu, Aida Kenani.
View: https://youtu.be/x5yFws4dc1U?si=Vi0dqREdT7AIhtme
3. Kufuatia Chadema kumtambua rasmi Mhe. Aida Khenani kama mbunge wake rasmi, JJ. Mnyika ameomba Mhe. Aida apewe muda wa kutosha kuchangia, na maoni yake yazingatiwe kama maoni ya kambi rasmi ya upinzani
View: https://youtu.be/r-SmiYZUOXc?si=HOrGl7qHppPYeF5v
4. Pia JJ Mnyika amejitahidi kujibu hoja mbalimbali za mwandishi Pasco Mayalla, zikiwemo hoja kuhusu wale wabunge wake 19, likiwemo jibu la swali ”Kwanini Chadema mpaka leo haijaripoti polisi kuhusu jinai ya kughushi ya wabunge hao 19?”
View: https://youtu.be/-M8HnYQgtAc?si=mBlAuAvub0JcokXp
5. JJ Mnyika, amesema Chadema ina uthibitisho wa uhusika wa mamlaka za nchi katika jinai ya kughushi uteuzi wa wabunge 19, serikali ikihusika na jinai, jeshi la polisi halifanyi uchunguzi!. Hata shambulio la Lissu, mamlaka ilihusika ndio maana mpaka leo hakuna uchunguzi wowote wa kijinai
View: https://youtu.be/CH1amKvbsQc?si=4_QhuIr4MXrYpv5J
6. Pia JJ Mnyika amethibitisha Chadema iliwatimua wabunge wake 19, kihalali kabisa kwa mujibu wa katiba ya Chadema, na Mahakama imethibitisha,

View: https://youtu.be/aJWb6Vkdx_s?si=E0oxq3R74CsGySah
P
 
Mayalla uko vizuri sana
 
Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…