Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA kutangazwa mchana huu. Nani kumrithi John Mnyika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu

Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa.

Juhudi zangu za kulazimisha kuvujishiwa jina kwa manufaa ya JF zinaendelea, Nzi wangu akiweza tu kunusa basi haraka sana kwa chap nalileta jina hapa

Usiondoke JF
 
Mnyika hafai kubaki lakini ndiye Katibu mkuu pendekezwa...
 
ntashukuru Mungu wakinichagua mimi fimboyaukwaju kuwa katibu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…