Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,042
- 2,005
Acha wafanye but wangejua maisha haya yalivyo mafupi mno wasingemuonea mtu ,jana nilkuwa na DAS Handeni anampokea DC mpya baada ya Gondwe kipelekwa Temeke, tuliongea sana Mwlm Maige akasema leo asbh anaenda Dodoma kwenye mkutano wa CCM ,lakini kilichotokea Mungu ndoo anajua .Walikuwa watatu kwenye gari ya mbunge lakini kafa peke yake.
Tuwatendee watu yaliyo mazuri
Tuwatendee watu yaliyo mazuri