Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,042
- 2,005
Security personnel are not trained to be polite but to be professional.
Waislam wa miaka hii wamelala Doro sanA! Sema mmetawanyika Sana na nyie hamn umoja ule...ule umoja mie ulikua unanitia wazimu Sana! Angalie mlipojikwaa mrudi..na Kama viongozi wenu wa Bwakata ndo wanafiki pigeni chini...
Waislamu tukatae uonevu huu wa ccm mwaka huu tuwaadhibu. Haiwezekani amekosa nini Sheikhe?Na wala hutosikia askofu au padri kukamatwa kwa kosa lolote nchi hii
Atatoka tu.Kwa jinsi ule waraka ulivyo na ukweli mwingi, ningeshangaa sana kama asingekamatwa. Awamu hii inatakiwa watu wote kuwa makondoo tu. Ukiongea ukweli ni shida kubwa.
Kwa jinsi ule waraka ulivyo na ukweli mwingi, ningeshangaa sana kama asingekamatwa. Awamu hii inatakiwa watu wote kuwa makondoo tu. Ukiongea ukweli ni shida kubwa.
Zako ni zeerooooBora zangu, akili zako ni theluthi ya nukta
Huo waraka unapatikana wapi ofsa Basi tuusome!Kwa jinsi ule waraka ulivyo na ukweli mwingi, ningeshangaa sana kama asingekamatwa. Awamu hii inatakiwa watu wote kuwa makondoo tu. Ukiongea ukweli ni shida kubwa.
kweli aisee, maana mzee baba Askofu Bagonza anaendelea kutema cheche zake tu.Na wala hutosikia askofu au padri kukamatwa kwa kosa lolote nchi hii
Mungu Ibariki CHADEMA [emoji16]Mungu mbariki Sheikh Ponda
Kazidi nini?Huyu jamaa naye kazidi
Ufipa ni KKt!Ufipa mpeni Ponda tiketi ya kupeperusha bendera. Nina imani kabisa mtashika dola bila hata ya kuzungusha mikono.