vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,845
- 2,258
Polisi wamekosa haki sana na wawe makini kwani wanatengeneza mabomu yatakayolipuka muda si mrefu na kuleta madhara makubwa.
Mara nyingi Sheikh Ponda hupiga Bull!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi wamekosa haki sana na wawe makini kwani wanatengeneza mabomu yatakayolipuka muda si mrefu na kuleta madhara makubwa.
Wacha ujinga wewe!Na wala hutosikia askofu au padri kukamatwa kwa kosa lolote nchi hii
Huyu kakiri kuwa yeye ndio kaandika anyway amshukuru sana Mungu
Sasa kwanini akubali kutumiwa na baadhi ya waisalamu wasiyoitakia mema nchi yetu na hataki kuwataja...Hana uwezo wa kuandika vile. Namfahamu vyema.
Ukiwacha werevu nitawacha ujingaWacha ujinga wewe!
Wako ndani?Gwajima na Niwemugizi kwani wao siyo maaskofu?
Sasa kwanini akubali kutumiwa na baadhi ya waisalamu wasiyoitakia mema nchi yetu na hataki kuwataja...
Huyu jamaa naye kazidi
Shemeji langu Hilo kwa comrade habib anga aka The boldHapo wanasubiri reaction yetu wananchi, wakiona moto umekuwa mkubwa watasema wanamshikilia na ‘upelelezi’ unaendelea.
Hapa ndipo vyombo vyetu vya usalama hunichosha, unamshikilia vipi mtu pasi na kuwa na hati ya mashtaka dhidi yake?
Na hata upelelezi huo ukikamilika kila uchwao yanaibuka mashtaka mapya, BS.
Waislamu wa wapi?Waraka ngapi zimetoka lakini hakuna anasumbuliwa lakini kwa kuwa ni Waislamu utasikia ni gaidi huu udini Tanzania utatuangamiza