Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi

Polisi wamekosa haki sana na wawe makini kwani wanatengeneza mabomu yatakayolipuka muda si mrefu na kuleta madhara makubwa.

Mara nyingi Sheikh Ponda hupiga Bull!
 
Shemeji langu Hilo kwa comrade habib anga aka The bold
 
Sijui ni lini nchi hii waislam wataamka katika usingizi mzito daah! Inasikitisha kosa lile lile akifanya muislam anakamatwa na polisi lakini wakifanya dini nyengine sawa tu,kama waraka dini nyengine washatoa zenye kuhatarisha amani zaidi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…