uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Laiti wangalijua..... haya mambo yanapiga kelele sana masikioni kwa watu na Pengine waraka usingekuwa na Mazara yeyote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wala hutosikia askofu au padri kukamatwa kwa kosa lolote nchi hii
Chukueni hatua sasa! Kulalamika tu hakuwezi kuleta usawa mnao uhitaji.
Nashauri sheikh agombee irais kupitia chadema
Kwani wanakamatwa bila kuchafua haliNa wala hutosikia askofu au padri kukamatwa kwa kosa lolote nchi hii
Nashauri sheikh agombee irais kupitia chadema
Bora zangu, akili zako ni theluthi ya nuktaAkili zako ni kisoda kuliko hata za mbu
Hawezi kupita mkuu hata kwa ramliNashauri sheikh agombee irais kupitia chadema
Mbona hiyo picha yupo mahakama ya kisutu halafu ni kama kapiga selfiepingu hapoWaraka wa Shura ya Maimamu wahusishwa
Huyu si ndio aliandaa ule waraka wa kidini unaozagaa humu ndaniAmefanya nini Hadi ajifunze?
Ukwrli upi wa kugawa dona kilo 50 kila nyumba?Hawataki kuambiwa ukweli
Haraka ya kazi gani?
Na wala hutosikia askofu au padri kukamatwa kwa kosa lolote nchi hii
halafu utakuta waislam wako mstari wa mbele kumchagua Jiwe Oktoba wakati utawakla huu ndio unaongoza kwa kuwakandamiza.