Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi

Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi

Nidini yake wala sio waraka, ndio maana watu Kama Gwajima wanahamasisha tumchague magufuli kisa nimkristo mwenzetu na msukuma mwenzetu lakini hawakamatwi, Askofu Bangoza anawaambia watu waandamane kudai tume huru ya uchaguzi lakini hakamatwi, lakini shekhe Ponda anaezungumzia Serikali itende haki kwa kila mtanzania nakuoanisha namna haki inavyominywa na uwiano usio sahihi miongoni mwa jamii anakamatwa , hapo ndio tunaona kuwa tatizo nidini yake nawala sio waraka wake
Mbona unajichanganya ? Shekhe ponda kakamatwa kwa ajili ya dini na wala sio waraka!Kama ndivyo nchi hii ina waisilamu wangap kwann akakamatwe yeye?....tuliwekek sawa hili, shekhe kakamatwa kwa ajili ya waraka na wala sio dini !na lazima ujue kwamba mtu mwingine akitenda kosa na asikamatwe haikupi kibali wewe cha kufanya kosa hilo na usikamatwe pia
 
Mbona unajichanganya ? Shekhe ponda kakamatwa kwa ajili ya dini na wala sio waraka!Kama ndivyo nchi hii ina waisilamu wangap kwann akakamatwe yeye?....tuliwekek sawa hili, shekhe kakamatwa kwa ajili ya waraka na wala sio dini !na lazima ujue kwamba mtu mwingine akitenda kosa na asikamatwe haikupi kibali wewe cha kufanya kosa hilo na usikamatwe pia
Napozungumza kwa sababu ya dini yake nikuwa waraka huohuo ungesomwa na kiongozi mkristo mwenzetu pasingekuwa natatizo, lakini waraka huo kwasababu umesomwa na Muislam ndio tatizo, ndio maana nakuambia tatizo nidini yake nawala sio waraka.
 
nimesoma waraka nusu wa Sheikh Ponda jamaa ni msomi au ana wasomi nyuma yake, he has a political agenda and evidences of injustice!! anazungumza ukweli kwa data kuwa hii ni serikali ya kikafiri inayokandamiza haki za waislam serikalini , jamaa hapigi porojo!! na anajiamini!! huyu hata wakimfunga haitosaidia tayari keshashinda uoga!!haogopi chochote na hamuogopi mtu yoyote au chombo chochote!! watu wa Mungu kama hawa si wakukamata ovyo ovyo polisi unaweza kupata busha bure!!

nafikiri Sheikh Ponda si mtanganyika lazima ana damu ya pande zile za kina Ndombolo ya solo! yaani ni mbishi kisawasawa! wabongo kwa asili ni watu waoga!! !Huyu Sheikh Ponda si wa kumkamata na kumsweka mahabusu haisaidii, huyu Sheikh ni wa serikali kina Magu kumwita na kujadiliana nae, he has a point na kwa vile anatetea haki huwezi kumshinda!! ni kama Tundu Lissu walimchapa risasi na hakufa!!
 
Waislam wa miaka hii wamelala Doro sana! Sema mmetawanyika Sana na nyie hamna umoja ule...ule umoja mie ulikua unanitia wazimu Sana! Angalie mlipojikwaa mrudi..na Kama viongozi wenu wa Bwakata ndo wanafiki pigeni chini...
Tunakushukuru sana kwa ukweli, uliyoyasema yote ni matamu na hayana chumvi. Sisi waislamu twachapwa na Bakora yetu wenyewe.

Serekali ya Kikwete na hi ya Magufuli, wamewekea mganga wa kienyeji kuwa Shekhe mkuu wa Bakwata. What useless institution.

Watu tulio na viongozi wa kidini walio waroho wa mali na wanatupiwa vijipesa hadharani na Raisi wa Nchi na wanazipigania , wala hawalioni hilo ni tusi. Hawatufai, lakini hatuna BALLS ya kuwagomea, kuwakataa kuandamana kuwapinga, kuwa elimisha waislamu wote kuwa hiyo taasisi haikubaliki, na pia ni dhambi kupokea msaada wa serekali.
 
Napozungumza kwa sababu ya dini yake nikuwa waraka huohuo ungesomwa na kiongozi mkristo mwenzetu pasingekuwa natatizo, lakini waraka huo kwasababu umesomwa na Muislam ndio tatizo, ndio maana nakuambia tatizo nidini yake nawala sio waraka.
Wakati polisi wanawahoji maaskofu wa TEC kuhusu waraka wa kwaresma mwaka juzi ulikuwa umezaliwa ??au na wao walihojiwa kwa sabab ya dini ya kikristu wangekuwa waislamu wasingehojiwa ??
 
Wakati polisi wanawahoji maaskofu wa TEC kuhusu waraka wa kwaresma mwaka juzi ulikuwa umezaliwa ??au na wao walihojiwa kwa sabab ya dini ya kikristu wangekuwa waislamu wasingehojiwa ??
Walivamiwa Kama alivyovamiwa shekhe Ponda na siraha ,magazine kwenye mifuko zilizojaa risasi?. Au waliitika wito walioitwa na Police?.
 
Nimerudia tena kuusoma waraka !aisee Jeshi la Polisi lisiishie tu kumkamata shekhe Ponda bali apelekwe mahakamani kabisa !!huwezi kuandika waraka unaozaa chuki kiasi kile halafu uachwe tu unadunda mtaani !!
 
Waislamu wengi hawana ajili, yaani huyu fala Ponda ndo great thinker wao
mkuu tuombe radhi !! na kwa kauli yako kuwa waislam hawana akili tayari umelaaniwa!!

kwa jina la Allah mimi pia ni mtu mwenye akili nyingi na ni mwislam!! mkuu Sheikh Ponda ni mwanaharakati wa kweli wa kutetea maslahi ya waislam Tanganyika, huyu ni kiongozi na ana wafuasi!!mmojawapo wa wafuasi wake ni mimi namkubali sana si kwa sababu ni mwislam kama mimi bali kwa sababu anaandika madai yake kisomi kwa kutumia data sasa ukitaka kujibu hoja zake lazima nawewe uwe na data!!

mkuu kumbuka kiongozi wa waislam au nchi si lazima awe ndie Kipanga zaidi ya wote! mfano mimi naamini kwa dhati kuwa naujua ujamaa vizuri kuliko mtu yoyote nchini na ningeweza kumfundisha Nyerere ujamaa Nyerere ambae hakuuelewa kabisa akawasumbua mamilioni ya watu kwa vijiji vya ujamaa na maduka ya ushirika na akaandika vitabu na vitabu ujinga mtupu!!! mimi leo wallah nakufundisha ujamaa in five minutes kwa kichwa na kwa lugha rafiki na nikishakufundisha unaona upumbavu wote mbele yako kwa marais wote wa Afrika waliojiita wajamaa! in short ujamaa is an ideology which remains on paper and which is not possible in practice! it is utopian stuff sababu by nature any soul is selfish and souls have inner motivations and levels of hardwork which are different hivyo hakuna asili ya mwanadamu inayotukuza eti mlipwe sifa na maslahi sawasawa na kujaza mali ya shirika bila kiboko!! huwezi kuelewa!! ( my teachers ni watatu wa Political economy!!one American prof, one indian prof and one european prof)!!

kuna mambo hayatumii akili bali system zilizoota mizizi,mfano ajira zinapotangazwa bongo wanaotangaza ni wakristo waliojazwa maofisini na Nyerere hawa ndio hufanya usaili na hawa ndio wanaajiri wakristo wenzao,waislam nchini wana safari ndefu kuuvunjavunja mfumo kristo ulioota mizizi, mojawapo ya njia ni kuzaliana! usitegemee mfumo huu utaishi milele, kuna siku utaisha labda si katika wakati ambao sisi tunaishi!!

hawa kina Sheikh Ponda ni vivuruge wa mfumo kristo lazima wakamatwe sababu wanaanika waziwazi mbinu chafu zilizoko nchini kuendeleza ukafiri hasa kwenye ajira na elimu!!

Kaka waislam ni watu wenye elimu zaidi nchini Tanzania FYI but i can tell you dini yao huwajengea dharau ya maslahi ya kidunia! kitabu chetu chatuambia kupambana kuwa mtu safi ili mbele za Allah uokoke!! this is the main reason huwezi kuona fujo ambayo ingetokea kama kundi zima la waislam nchini wangekuwa ni wapagani kama West, wasingekaa kimya!! mimi naongea hapa ni muislam na nina digrii tatu za mlimani usa na europe!

Sheikh Ponda is great thinker kwenye kutetea haki za waislam YES you are right ila si kwenye mambo mengine!!

mkuu another time tumia kichwa kufikiri sio moyo, do you know the difference?
 
Waislam wa miaka hii wamelala Doro sana! Sema mmetawanyika Sana na nyie hamna umoja ule...ule umoja mie ulikua unanitia wazimu Sana! Angalie mlipojikwaa mrudi..na Kama viongozi wenu wa Bwakata ndo wanafiki pigeni chini...
Bakwata ni jumuiya ya CCM kama ilivyo ya Wanawake au vijana...... Sijui lini watahamishia makao makuu yao Dodoma!!?
 
Back
Top Bottom