BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Una ushahidi kwamba yeye ni mrundi?Mpuuzi yule na warundi wenzake. Wanataka kutuharibia nchi
Peleka mahakamani,acha maneno Kama mtoto wa kike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ushahidi kwamba yeye ni mrundi?Mpuuzi yule na warundi wenzake. Wanataka kutuharibia nchi
Mbona unajichanganya ? Shekhe ponda kakamatwa kwa ajili ya dini na wala sio waraka!Kama ndivyo nchi hii ina waisilamu wangap kwann akakamatwe yeye?....tuliwekek sawa hili, shekhe kakamatwa kwa ajili ya waraka na wala sio dini !na lazima ujue kwamba mtu mwingine akitenda kosa na asikamatwe haikupi kibali wewe cha kufanya kosa hilo na usikamatwe piaNidini yake wala sio waraka, ndio maana watu Kama Gwajima wanahamasisha tumchague magufuli kisa nimkristo mwenzetu na msukuma mwenzetu lakini hawakamatwi, Askofu Bangoza anawaambia watu waandamane kudai tume huru ya uchaguzi lakini hakamatwi, lakini shekhe Ponda anaezungumzia Serikali itende haki kwa kila mtanzania nakuoanisha namna haki inavyominywa na uwiano usio sahihi miongoni mwa jamii anakamatwa , hapo ndio tunaona kuwa tatizo nidini yake nawala sio waraka wake
Zitto, ponda, marehemu idd simba wana ndugu zao Bujumbura kama ulikuwa hujuiUna ushahidi kwamba yeye ni mrundi?
Peleka mahakamani,acha maneno Kama mtoto wa kike
Napozungumza kwa sababu ya dini yake nikuwa waraka huohuo ungesomwa na kiongozi mkristo mwenzetu pasingekuwa natatizo, lakini waraka huo kwasababu umesomwa na Muislam ndio tatizo, ndio maana nakuambia tatizo nidini yake nawala sio waraka.Mbona unajichanganya ? Shekhe ponda kakamatwa kwa ajili ya dini na wala sio waraka!Kama ndivyo nchi hii ina waisilamu wangap kwann akakamatwe yeye?....tuliwekek sawa hili, shekhe kakamatwa kwa ajili ya waraka na wala sio dini !na lazima ujue kwamba mtu mwingine akitenda kosa na asikamatwe haikupi kibali wewe cha kufanya kosa hilo na usikamatwe pia
Hujui mwamposa kilitokea Nini Moshi,acha mahaba ya kijinga weweHao akina mwamposa wamefanya Nini kinachofanana na sheikh ponda.?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hata Magufuli anandugu zake Bunjumbura mkuu kwani hufaham?.Zitto, ponda, marehemu idd simba wana ndugu zao Bujumbura kama ulikuwa hujui
Kwani wangemuita asingekwenda?Sasa kuna tatizo gan Polisi kwenda kumhoji juu ya huo ukweli???
Wewe ukiwa na ndugu London au Paris wewe ni mzungu?Zitto, ponda, marehemu idd simba wana ndugu zao Bujumbura kama ulikuwa hujui
Mungu mbariki Sheikh Ponda
[/QUOTE
Ameen
Waislamu wengi hawana ajili, yaani huyu fala Ponda ndo great thinker waoUkwrli upi wa kugawa dona kilo 50 kila nyumba?
Tunakushukuru sana kwa ukweli, uliyoyasema yote ni matamu na hayana chumvi. Sisi waislamu twachapwa na Bakora yetu wenyewe.Waislam wa miaka hii wamelala Doro sana! Sema mmetawanyika Sana na nyie hamna umoja ule...ule umoja mie ulikua unanitia wazimu Sana! Angalie mlipojikwaa mrudi..na Kama viongozi wenu wa Bwakata ndo wanafiki pigeni chini...
Wakati polisi wanawahoji maaskofu wa TEC kuhusu waraka wa kwaresma mwaka juzi ulikuwa umezaliwa ??au na wao walihojiwa kwa sabab ya dini ya kikristu wangekuwa waislamu wasingehojiwa ??Napozungumza kwa sababu ya dini yake nikuwa waraka huohuo ungesomwa na kiongozi mkristo mwenzetu pasingekuwa natatizo, lakini waraka huo kwasababu umesomwa na Muislam ndio tatizo, ndio maana nakuambia tatizo nidini yake nawala sio waraka.
Gwajima alisema hadharani na iko recorded, kuwa ataigeuza misikiti kuwa Sunday School. Haukuwa uchocheziNa wala hutosikia askofu au padri kukamatwa kwa kosa lolote nchi hii
Walivamiwa Kama alivyovamiwa shekhe Ponda na siraha ,magazine kwenye mifuko zilizojaa risasi?. Au waliitika wito walioitwa na Police?.Wakati polisi wanawahoji maaskofu wa TEC kuhusu waraka wa kwaresma mwaka juzi ulikuwa umezaliwa ??au na wao walihojiwa kwa sabab ya dini ya kikristu wangekuwa waislamu wasingehojiwa ??
Kama we ndo IGP watamwita!kuna mambo mengi kwenye kuamua aina ya kumakamata mtu...kwa hsitoria ya Ponda, ukamataji ule nauunga mkonoKwani wangemuita asingekwenda?
Mbona wengine hawafuatwi kanisani? Acha ujinga wewe
mkuu tuombe radhi !! na kwa kauli yako kuwa waislam hawana akili tayari umelaaniwa!!Waislamu wengi hawana ajili, yaani huyu fala Ponda ndo great thinker wao
Bakwata ni jumuiya ya CCM kama ilivyo ya Wanawake au vijana...... Sijui lini watahamishia makao makuu yao Dodoma!!?Waislam wa miaka hii wamelala Doro sana! Sema mmetawanyika Sana na nyie hamna umoja ule...ule umoja mie ulikua unanitia wazimu Sana! Angalie mlipojikwaa mrudi..na Kama viongozi wenu wa Bwakata ndo wanafiki pigeni chini...