Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa kuzuia mahaba yake ya kikabila dhidi ya mgombea uenyekiti wa chadema Taifa ambae ni wa kabila lake na ametoka kijiji kimoja na yeye.
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania, anatumia wadhifa wake kushawishi kanisa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, wanachadema na wagombea wengine wa uongozi ndani ya chadema, kumuunga mkono mgombea anae mpenda yeye kwasababu za kikabila, na kua ndie mgombea wa baraza la maaskofu na waamini wa kanisa katoliki wanafaa kufuata hivyo, dhidi ya wagombea wasio wakatoliki na wasio wa kabila lake.
Ni muda muafaka sasa, katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania, kujitafakari mwenyewe, lakini pia kuwajibishwa na kanisa kwa kulichafua baraza la maaskofu katoliki Tanzania, na kuliingiza kanisa katoliki kwenye siasa za ndani ya vyama vya siasa Tanzania.
Hii ni hatari kwa siasa, amani , utulivu na usalama wa Taifa letu changa 🐒
Mungu Ibarki Tanzania.
wafuasi, washabiki na wanachama wa vyama vyote vya siasa nchini ni waamini wa dini mbalimbali nchini, right?Kwani mbona wapo viongozi wa dini ni ccm damu damu
unazungumzia nini gentleman 🐒Katiba inamzuia asifanye siasa yeye kama Mtanzania? Mbona Dr. Sulle anafanya siasa na hamsemi? Kinachotatiza hapa ni kuwa anafanya siasa ambazo ni impactful wakati Dr. Sulle anachukua kipaza sauti ili atukane na kufikiri amefanikiwa kitu.
Naona kama yale ya South America yanaweza kutokea Tanzania
Halafu ndio alitaka tumsikilize ushauri wake kuhusu dp world, si akahombee tu cheo chademaKatibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa kuzuia mahaba yake ya kikabila dhidi ya mgombea uenyekiti wa chadema Taifa ambae ni wa kabila lake na ametoka kijiji kimoja na yeye.
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania, anatumia wadhifa wake kushawishi kanisa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, wanachadema na wagombea wengine wa uongozi ndani ya chadema, kumuunga mkono mgombea anae mpenda yeye kwasababu za kikabila, na kua ndie mgombea wa baraza la maaskofu na waamini wa kanisa katoliki wanafaa kufuata hivyo, dhidi ya wagombea wasio wakatoliki na wasio wa kabila lake.
Ni muda muafaka sasa, katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania, kujitafakari mwenyewe, lakini pia kuwajibishwa na kanisa kwa kulichafua baraza la maaskofu katoliki Tanzania, na kuliingiza kanisa katoliki kwenye siasa za ndani ya vyama vya siasa Tanzania.
Hii ni hatari kwa siasa, amani , utulivu na usalama wa Taifa letu changa 🐒
Mungu Ibarki Tanzania.
Gentleman,Sasa hao wanyaturu wawili tu wana athari gani kwa siasa za kikabila? Kwanza hakuna anayejua wale ni wanyaturu na hakuna anayefuatilia siasa za kikabila. Kwa upande wa kanisa katoliki ni kubwa lina waumini wa vyama vyote haliko organised kisiasa na haliwezi kugawanyika kwa mitazamo ya kisiasa
yaani viongozi wengine kwenye haya makanisa ni mizigo isiyobebeka na ni wanafiki mno kwa nje na kwa ndani ya mioyo yao ni mbwa mwitu wakali zaidi 🐒Halafu ndio alitaka tumsikilize ushauri wake kuhusu dp world, si akahombee tu cheo chadema
huo wa pekeyake yeye mwenyewe Lakini kwa mgongo wa kanisa ndio haswa unafiki wa kiwango cha juu ambao ni kinyume cha falsafa hususan ya kanisa katoliki.Kati ya makatibu wa kuu wa baraza la maaskofu walio andamwa kisisa Dt kitima ana ongoza.
Mimi ninacho fahamu ni moja wa mapadre wenye kiwango kikubwa cha elimu sio rahisi namna hio kujiingiza kwenye migogoro ya kisiasa tena kwa mwavuli wake yeye kama yeye , eti analiingiza kanisa katika mgogoro!
Labda sio kanisa katoliki .
mko wangapi gentleman mnaoamini katika upotoshaji huo?🐒Gentleman,
Relax! Ya CHADEMA waachie wanachadema tunakujua wewe ni mwanaccm
nadhani platform hii muhimu na ya heshima zaidi ndio yenye msaada zaidi wa kuaminika kuliko platforms nyingine zote unazo tumia nchini 🐒Uliza huko mitandaoniii watakukuzaa
Acha ujinga wako wewe! Kanisa Katoliki haliwezi kugawanyika kwa sababu za kipuuzi.Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa kuzuia mahaba yake ya kikabila dhidi ya mgombea uenyekiti wa chadema Taifa ambae ni wa kabila lake na ametoka kijiji kimoja na yeye.
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania, anatumia wadhifa wake kushawishi kanisa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, wanachadema na wagombea wengine wa uongozi ndani ya chadema, kumuunga mkono mgombea anae mpenda yeye kwasababu za kikabila, na kua ndie mgombea wa baraza la maaskofu na waamini wa kanisa katoliki wanafaa kufuata hivyo, dhidi ya wagombea wasio wakatoliki na wasio wa kabila lake.
Ni muda muafaka sasa, katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania, kujitafakari mwenyewe, lakini pia kuwajibishwa na kanisa kwa kulichafua baraza la maaskofu katoliki Tanzania, na kuliingiza kanisa katoliki kwenye siasa za ndani ya vyama vya siasa Tanzania.
Hii ni hatari kwa siasa, amani , utulivu na usalama wa Taifa letu changa 🐒
Mungu Ibarki Tanzania.
Mbowe anakubalika na wasomi TEC.Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa kuzuia mahaba yake ya kikabila dhidi ya mgombea uenyekiti wa chadema Taifa ambae ni wa kabila lake na ametoka kijiji kimoja na yeye.
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania, anatumia wadhifa wake kushawishi kanisa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, wanachadema na wagombea wengine wa uongozi ndani ya chadema, kumuunga mkono mgombea anae mpenda yeye kwasababu za kikabila, na kua ndie mgombea wa baraza la maaskofu na waamini wa kanisa katoliki wanafaa kufuata hivyo, dhidi ya wagombea wasio wakatoliki na wasio wa kabila lake.
Ni muda muafaka sasa, katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania, kujitafakari mwenyewe, lakini pia kuwajibishwa na kanisa kwa kulichafua baraza la maaskofu katoliki Tanzania, na kuliingiza kanisa katoliki kwenye siasa za ndani ya vyama vya siasa Tanzania.
Hii ni hatari kwa siasa, amani , utulivu na usalama wa Taifa letu changa 🐒
Mungu Ibarki Tanzania.
muerevu mbona unaendekeza makasiriko tu na imani potofu?Acha ujinga wako wewe! Kanisa Katoliki haliwezi kugawanyika kwa sababu za kipuuzi.