Katibu Mkuu wa TEC ajitafakari kwa sababu anatajwa kuligawa Kanisa kisiasa kwa kushindwa kuzuia mahaba yake


Katiba inamzuia asifanye siasa yeye kama Mtanzania? Mbona Dr. Sulle anafanya siasa na hamsemi? Kinachotatiza hapa ni kuwa anafanya siasa ambazo ni impactful wakati Dr. Sulle anachukua kipaza sauti ili atukane na kufikiri amefanikiwa kitu.
Naona kama yale ya South America yanaweza kutokea Tanzania
 
Kwani mbona wapo viongozi wa dini ni ccm damu damu
wafuasi, washabiki na wanachama wa vyama vyote vya siasa nchini ni waamini wa dini mbalimbali nchini, right?

ikiwa ni hivyo,
vipi kiongozi wa dini moja wapo, mathalani dini yako, kiongozi akaanza kupigia chapua Chama Cha siasa apendacho yeye, na mgombea uongozi ampendae yeye, huku wewe ukiwa wa chama kingine ndani ya nyumba moja ya ibada?πŸ’

Chukua hiyo itakusaidia gentleman πŸ’
 
unazungumzia nini gentleman πŸ’
 
Avue mara ngapi. Kila post anaandika maujinga tu
sasa si uandike maujanja ndugu muerevu?

mbona unajipambanua na makasiriko na mihemko tu na hakuna point ya maana dhidi ya hoja mahususi mezani?πŸ’
 
Halafu ndio alitaka tumsikilize ushauri wake kuhusu dp world, si akahombee tu cheo chadema
 
Gentleman,
hawana athari zozote kisiasa,
ila ni muhimu kuwaweka kuweka record wazi ili wapuuzwe vizuri na jamii kwa kutumia vyeo vyao na mamlaka waliyonayo kuligawa mathalani kanisa katoliki na kuendekeza ukabila wao kizembe namna ile πŸ’
 
Halafu ndio alitaka tumsikilize ushauri wake kuhusu dp world, si akahombee tu cheo chadema
yaani viongozi wengine kwenye haya makanisa ni mizigo isiyobebeka na ni wanafiki mno kwa nje na kwa ndani ya mioyo yao ni mbwa mwitu wakali zaidi πŸ’
 
usiogope kumchana gentleman,

atakukwaza sana,
siku ingine,
utajikuta umejipanga kwenda kuskiza neno la Mungu kanisani unamkuta muungawana anahubiri chadema na mgombea wa imani na kabila lake πŸ’
 
huo wa pekeyake yeye mwenyewe Lakini kwa mgongo wa kanisa ndio haswa unafiki wa kiwango cha juu ambao ni kinyume cha falsafa hususan ya kanisa katoliki.

Falsafa ya kanisa katoliki sio ya kibinafsi ndiyo maana wanatambua familia, jumuiya, kanda, dekania na kanisa lenyewe katoliki. Hakuna ubinafsi kanisa katoliki gentleman πŸ’
 
Gentleman,
Relax! Ya CHADEMA waachie wanachadema tunakujua wewe ni mwanaccm
Kwan mko wangapi gentleman mnaoamini katika upotoshaji huo wa kiwango cha chini sana?πŸ’
 
Gentleman,
Relax! Ya CHADEMA waachie wanachadema tunakujua wewe ni mwanaccm
mko wangapi gentleman mnaoamini katika upotoshaji huo?πŸ’
Uliza huko mitandaoniii watakukuzaa
nadhani platform hii muhimu na ya heshima zaidi ndio yenye msaada zaidi wa kuaminika kuliko platforms nyingine zote unazo tumia nchini πŸ’
 
Anatajwa kuligawa Kanisa na masaburi Yako .??? shwain
relax gentleman,
makasiriko ya kishwain utaishia kujikaanga tu kwa mafuta yako mwenyewe,

siasa ni mipango mikakati gentleman πŸ’
 
Acha ujinga wako wewe! Kanisa Katoliki haliwezi kugawanyika kwa sababu za kipuuzi.
 
Mbowe anakubalika na wasomi TEC.
 
Acha ujinga wako wewe! Kanisa Katoliki haliwezi kugawanyika kwa sababu za kipuuzi.
muerevu mbona unaendekeza makasiriko tu na imani potofu?

huyo katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania aache unafiki, na kuingiza siasa na ukabila katika kanisa katoliki, hiyo ni laana kama aliyonayo msaliti Mzee slaa πŸ’
 
Mbowe anakubalika na wasomi TEC.
sifahamu,
ila katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anajarbu kummpendelea kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ambae ni wa kabila lake kua kiongozi mkuu wa chadema Taifa πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…