Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi Kuzindua Vijana Jogging Club

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301


Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi Kuzindua VIJANA JOGGING CLUB.


VIJANA JOGGING CLUB.

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi unapenda kuwaalika Vijana wote wa Tanzania katika Uzinduzi wa “Vijana Jogging Club” utakaofanyika tarehe 31 Julai 2021 kuanzia Nyerere Square hadi Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Vijana Jogging Club ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndugu Kenani Kihongosi.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Ndugu. Anthony Mtaka - Atashiriki.

Mbunge wa Jimbo la Dodoma, Ndugu. Anthony Mavunde - Atashiriki.

#CoronaIpoMazoeziMuhimu
#AmaniYetuMaishaYetu
#KaziIendelee


WATU WOTE KUTOKA NCHI NZIMA MNAKARIBISHWA.
KARIBUNI SANA SANA SANA
JISIKIE UPO NYUMBANI.

#MtumishiWaWote
#MtumishiWaWote
#MtumishiWaWote.







 
Huyu si ametanjwa kwenye kesi ya ujambazi wa sabaya kule arusha, ccm mna nini lakini mbona mnafuga magaidi?
 
Huyu si ametanjwa kwenye kesi ya ujambazi wa sabaya kule arusha, ccm mna nini lakini mbona mnafuga magaidi?
Umeniwahi,Hakika KENANI ni kundi moja na sabaya ndiyo maana alikuwa anachapa viboko Kyle Arusha na kumtamkia Zitto auawe.
 
Nitakuwepo mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…