Katibu mkuu wetu J. Mnyika amepwaya sana

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Sioni kama ana mikakati ya kuimarisha chama chetu.

Ishu ya akina Covid 19 imemshinda kabisa pamoja na kuwa ilikuwa turufu kwetu.

Sioni akipambana kupinga uonevu wa CCM kama ilivyokuwa Dk Slaa. Ona ishu ya tozo, kodi ya nyumba via luku nk. Yupo kimya tu kana kwamba amelidhika.

Huyu ndio katibu asiyefaa kuwahi kuwa na chama chetu.
 
Ameonyeshwa Diary ya MK wake na imeshtua sana, na bado anatafakari nini cha kufanya.
 
Hebu andika na mambo mazuri ya huko kwenu lumumba!
Aiseee!
 
Hamza tumemfumua Ubongo jana mwenzake ananyea debe na kuliwa na papasi lockup

USSR
Kwa uonevu wenu mmesha watengeneza wengi tu,tena ni bora usiendelee kujitambulisha kwa ujinga huo, Hamza yupo.
 
Na chongolo? Kuongea tu hajui alafu ana kichwa bate
Si unajua watu wenye vichwa vilivyokaa bate
 
Sioni kama ana mikakati ya kuimarisha chama chetu.

Ishu ya akina Covid 19 imemshinda kabisa pamoja na kuwa ilikuwa turufu kwetu.

Sioni akipambana kupinga uonevu wa CCM kama ilivyokuwa Dk Slaa. Ona ishu ya tozo, kodi ya nyumba via luku nk. Yupo kimya tu kana kwamba amelidhika.

Huyu ndio katibu asiyefaa kuwahi kuwa na chama chetu.
Wewe ni mccm mbona unawashwa sana na mambo ya Chadema?
 
Sioni kama ana mikakati ya kuimarisha chama chetu.

Ishu ya akina Covid 19 imemshinda kabisa pamoja na kuwa ilikuwa turufu kwetu.

Sioni akipambana kupinga uonevu wa CCM kama ilivyokuwa Dk Slaa. Ona ishu ya tozo, kodi ya nyumba via luku nk. Yupo kimya tu kana kwamba amelidhika.

Huyu ndio katibu asiyefaa kuwahi kuwa na chama chetu.
Mnyika hafai wewe unaweza?!
 
Endelea kumsifia Shaka ambaye tuna Mashaka nae. Mnyika tuachie wenyewe Chadema.
Mtu unajulikana uko Lumumba, ya Chadema tuachie wenyewe
 
Mnyika ana nafuu ukilinganisha na Mashinji ila kiukweli anapwaya sana,kaimu mwenyekiti anafurukuta japokua yuko nje.Mbanga za Slaa zilikua hatari,japo mimi siyo mtu wa siasa,ila nilikua nainjoi.CHADEMA wasipoangalia,Mbowe anaweza akahukumiwa pasipo haki kutendeka na baadhi ya viongozi wakatulia.Namuonea huruma sana yule jamaa(Mbowe).Lokapu kubaya sana.
 
Sioni kama ana mikakati ya kuimarisha chama chetu.

Ishu ya akina Covid 19 imemshinda kabisa pamoja na kuwa ilikuwa turufu kwetu.

Sioni akipambana kupinga uonevu wa CCM kama ilivyokuwa Dk Slaa. Ona ishu ya tozo, kodi ya nyumba via luku nk. Yupo kimya tu kana kwamba amelidhika.

Huyu ndio katibu asiyefaa kuwahi kuwa na chama chetu.
Kapwaya mzee Meco
 
Back
Top Bottom