Katibu mkuu wetu J. Mnyika amepwaya sana

Chaka la magaidi
 
anazidi kuvimba mashavu tu, hafany lolote. mtadanganywa hadi lini nyie watu?
 
Hiyo nafasi angepewa Heche ingefaa sana, kama nionavyo mimi.
Mkurya hawezi kupewa hiyo nafasi, maana akilizamisha watachachawangwe. Hiyo nafasi anatakiwa "ndiyo kamanda" mwenye kutia sahihi kwenye cheki bila kuuliza supporting documents za malipo.
 
Hamza tumemfumua Ubongo jana mwenzake ananyea debe na kuliwa na papasi lockup

USSR
Kweli Mbowe na Hamza hawana tofauti. Labda tofauti tu ya makabila yao lakini wote magaidi
 
Wewe ndiye parody kilaza kuliko wote waliopo kusini mwa jangwa la Sahara
 
Kama harusiwi kuitisha mikutano hata ya ndani, mikakati akapangie chooni? Kilangila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…