Katibu mkuu wetu J. Mnyika amepwaya sana

Hamza kada wenu wa ccm ilala,wiki hii kawainua sasa ...kaipandisha chati ccm kua chama cha kigaidi,mitano tena kwa mama samia
 
Anakula zake mshahara mnono tu unapatikana na michango ya wanachama
 
Mkurya hawezi kupewa hiyo nafasi, maana akilizamisha watachachawangwe. Hiyo nafasi anatakiwa "ndiyo kamanda" mwenye kutia sahihi kwenye cheki bila kuuliza supporting documents za malipo.
Wangwe aliuwawa na serikali usitake kutufanya sisi wajinga kama wewe, uliona kuna kiongozi yeyote wa Chadema aliyekamatwa kuhusiana na kifo cha Wangwe???? Na kwa nini serikali alidai kwamba alikufa kutokana na ajali...!! Kadanganye wajinga wenzako huko Lumumba sio sisi.

Wakurya wote wanaufahamu huo ukweli na ndio maana hadi leo Chadema inakubalika sana Tarime na ccm kama kawaida bila tume yao na polisi hawana chochote Tarime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…