Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Sasa sijui itakuwaje kuhusu bendera zake
 
Maskini kangi na kaunda suti ya bendela ya Taifa mzalendo namba moja 😂😂😂
 
Hebu tuweke mihemko pembeni, kwani ni nani alisema atatoa vibali vya kusafiri nje? Na kibali si kinaonyesha unaenda kufanya nini? Au meko kaamua kijidefend kama vile hausiki wakati ni muhusika tena mnafiki mkubwa
 
Kutoka kwenye kumbukumbu zetu
 

Attachments

  • VID-20200123-WA0001.mp4
    883.5 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…