Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Mkiona nimeacha kukomenti komenti sana basi msinitafute, mjue mwenzenu tayari nitakuwa bize na either uwaziri au unaibu waziri.
Ila naona huyu Nape kama vile anarudi kibarazani kwa spidi.
Umeshakuwa waziri nini?
 
Huwezi tutukania mwenyekiti wetu hata kama hayupo duniani tutadili na wewe kama mwewe!
Tuweke videos za Magu akitukana watu? Kwa kinywa chake na hadharani alishawahi sema anamtukana sana Kabudi kuliko mtu yeyote
 
Umefukua Kaburi Maana Yake Atazikwa Mtu Muda Siyo Mrefu
 
Mstaarabu atokee Chato!
Si kituko hicho. Jitu latembea likila mahindi barabara nzima ...
Mbona ww kila mwanaume unatembea nae, kama unakosa ustaarabu kwenye hilo shimo lako je utapata ustaarabu kwenye maisha.?
 
Back
Top Bottom