Ni comedian !yule jamaa ukimcheki tu alivyo utagundua hamna kitu kichwani...sijui alipewaje uwaziri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokana na kichano alichopewa na mh. Leo wakati wa kuapishwa simba na zungu aisee uadilifu wake umeingia shakani sijui jimboni huko kamati ya siasa na chama juu watakavoamuaLugola hata kutetea ubunge wake ktk jimbo lake mwaka huu upo shakani. Naona kwa mbali Musiba akipiga jalamba ili kulipwa fadhila.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka clip tuone alivyokuwa akikata mauno huku anatamka hayo maneno!Magufuli jembe si jembe?
Nyoko, … la mama yakoJiwe alikuwa laana ya taifa
Uwezo wako wa kufikiri ndo umefikia hapa?Nyoko, … la mama yako
Na wewe pia nakuunga …. La mamayoUwezo wako wa kufikiri ndo umefikia hapa?
SadNa wewe pia nakuunga …. La mamayo