Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Lugola hata kutetea ubunge wake ktk jimbo lake mwaka huu upo shakani. Naona kwa mbali Musiba akipiga jalamba ili kulipwa fadhila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kumsifia Rais,leo Lugola katumbuliwa.
Rais akiwa anafungua makazi ya wanajeshi wa magereza.Katibu mkuu ajiuzulu ila Lugola kaambiwa SASA BASI.
Lugola alikuwa mpole na mdogo kama piriton.
 
Yaani lugola anaidhinisha allowance ya dola 800 per day kwenye vikao vya kupitisha huo mradi, kumbe ndiyo maana alikuwa tayari kucheza ngoma mbele ya rais ili amfurahishe na kuficha madhambi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani yeye nani alipitisha ununuzi wa ndege?? /na yeye aachie ngazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona waziri was mambo ya ndani namuona hapa yupo na wewe unasema hayupo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui lugola aibu ile ataificha wapi maana alikuwa anajidhalilisha kisa kumfurahisha malaika
Kwa ile lugha ya raisi wa wa Tanzania aliyokuwa anaitumia wa waziri wa mambo ya ndani na kamishina wa jeshi la magereza Mr. Andengenye bila wasiwasi wowote wale jamaa weishakanyaga nyaya za tanesco.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi alikumbuka tena kumsalimia shikamoo Mzee wa vibendera vya uzalendo na msaafu wa chama Kila akistukiza vituo vya polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…