Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Iyo TAHILISO ni takataka kabisa. Hao kina kiliba ndo vingozi chipukizi kupitia UVCCM wanaokuja kuingizwa kwenye mfumo.Katibu Muenezi wa CCM Arusha Saipulani Ramsey amjia Juu Kiliba, Asema kauli yake ya kwamba “alimuomba Rais Samia amruhusu kuwatukana wapinzani” Kauli hiyo inashusha hadhi ya Ikulu na amtaka aombe Radhi na afute kauli yake
Imagine watz milioni 62 tunaongozwa na form four failure sio utani huo ni nn mkuu???Hadhi ya Ikulu hii imeshuka baada ya kuruhusu kilaza kuwa Rais.
Ikulu ya sasa sio ile ya Mwalimu. Imeshakuwa pango la wahalifu kitambo sana!Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amemkosoa Kiliba kufuatia kauli yake kwamba alimwomba Rais Samia Suluhu Hassan amruhusu kuwatukana wapinzani.
Ramsey amesema kauli hiyo inashusha hadhi ya Ikulu na kumtaka Kiliba kufuta kauli hiyo pamoja na kuomba radhi.
Amesema kuwa ikiwa Kiliba ana nia ya kuwatukana wapinzani, hana cheo gani kinachompa mamlaka hayo, huku akihoji sababu za kuwalenga wapinzani.
Ramsey amesisitiza kuwa kiongozi huyo wa TAHLISO amekosea na anapaswa kuomba msamaha, akizingatia maadili na misingi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kauli hii imekuja mara baada ya Raisi wa TAHLISO kusema kuwa aliomba ruhusa kwa rais wa jamhuri ya muunganom wa tanzania samia suluhu Hassan kuwatukana wapinzani na kukataliwa ombi lake
Chanzo : Chiefodemba tz
Huyo kiliba ana undugu na kilibatumbo ?Katibu Muenezi wa CCM Arusha Saipulani Ramsey amjia Juu Rais wa TAHLISO, Geofrey Kiliba Asema kauli yake ya kwamba “alimuomba Rais Samia amruhusu kuwatukana wapinzani” Kauli hiyo inashusha hadhi ya Ikulu na amtaka aombe Radhi na afute kauli yake
Soma Pia:
Na nimeamua kusema kwa msisitizo kwa sababu kuna muda mnahisi kwamba tuna hofu... Kwenye mambo yote kweli ambao wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu wamefanyiwa aende kuomba kutukana alafu yeye anataka kuwatukana wapinzani yeye kama nani?"
- Kiliba: Rais Samia alifiwa na Mume wake mpendwa lakini hakuna kiongozi wa Chadema hata mmoja aliyeenda msibani
- Kiliba(Rais TAHLISO): Nilimwambia Rais naumia CHADEMA kukutukana upo kimya, basi turuhusu sisi vijana wakitukana, tuwatukane na sisi
"Hapa tunatetea misingi na miiko ya taasisi yetu... Msimamo wetu ni ule ule. Futa kauli yako." Amesema Ramsey