Ila hicho kitengo karibu na hapo CRDB na gazeti la MZALENDO inabidi wawaonee huruma hawa jamaa, tuache ushabiki. Kwa jinsi maisha yalivyopanda bei buku7 haitosi kitu.
Nakumbuka kipindi kile walikuwepo makamanda malaria sugu, lizaboni, chabruma, kimeta cha ufisadi, tandaleone aka wa mtama nk... walikuwa wanajituma sana. Ilikuwa ukiitaja ccm tu! dk 2 nyingi hawa hapa! mpaka unahisi huyu ni mtu au roboti?!
Enzi hizo alikuwepo moderator mmoja akiitwa Buchanan tukawa tunamtania kuwa kaiba kitufe cha "dislike"