ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
hakuna namna arudi huku nyumbani mpaka diamondplatnumz yupo hukuKAA HAKUBALIANI NA MISIMAMO YA CHADEMA, AHAMIE CCM WAO HAWAJAJITOA[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna namna arudi huku nyumbani mpaka diamondplatnumz yupo hukuKAA HAKUBALIANI NA MISIMAMO YA CHADEMA, AHAMIE CCM WAO HAWAJAJITOA[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
sasa huo ujumbe unahusika vip na maada hapo juu?ccm wangestick na agenda ya tanzania ya viwanda tungewaona wa maana sana.
Hajapata maelekezo aandike nini.Mzee wa Alumna Kawe anasemaje juu ya hili!?
Ana akili sana? Kwa nini hakuhoji wagombea wote wa hai kukatwa? Nani alikuwa agombee sasa hapo Hai? Amechoka kutumiwa na watu wabaya?! kwa hiyo sasa anatumika na Sabaya ni mtu mzuri?? Tapeli wa kimataifa huyu?msweeee!Huyo kijana anaakili mno,amechoka kutumika na watu wabaya
Njaa kakaHuyu Millard nae kiazi sana
ujinga tu.... eti hawa ndiyo wanamsaidia Rais -- duhKwa akili za Sabaya,huo mchezo wa kitoto anajiona ameweza kuwabadili fikra wapinzani.
Bangi za Ngaramtoni zitamfikisha pabaya