Katibu Tawala aliyeiba mafuta anabebwa na familia ya Kikwete

Mtu anapinga ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha wewe unaleta maneno ya kanga moja
 
halafu wakati unapigiwa story na jamaa mwenye bifu na huyu muungwana wa halmashauri, kuna mambo umesahau kuyaweka humu kwenye hii script ili ilete hisia kali 🐒

au utamalizia kesho🐒

halafu jamaa alikua na mlungula kabisa kama issue itafanikiwa. vip jamaa, kaishakumegea ngap mpaka sasa ukapate cha arusha na visungura 🐒🐒

🤣unapewa hongo ili ukatoe taarrifa ya rushwa na udanganyifu dah, hii dunia ni msongamano kweli 🐒
 
Mkuu Hongera sana kwa kuendelea kufichua maovu tena bila woga na ukiwa verified…nimeanza kukuelewa sana mzee wa sumu ya nyigu!
Kikwete ndio mwenye nchi huyo kijana hatoguswa kamwe….

Ukitaka kujua angalia Jk anavyotamba kwa sasa…huyo kijana ata angeiba hazina asingeliguswa lakini wanao kutwa na nyama ya swala wanalimwa miaka 30 jela
 
Kijana unajiamini sana. Hongera kwa mapambano dhidi ya hii serikali iliyooza kwa ufisadi na upigaji.

Rai yangu kwako ni hii hapa; ujitahidi kuwa smart aisee kwenye mambo yako! Usije ukarudia tena makosa kama yale ya kutegeshewa madawa ya kulevya na yule mrembo shushushu kutoka Chuga aliyekulewesha kwa mapenzi feki, na kujikuta umeingia mikononi mwa policcm.
 
Kikwete kumbuka yuko kwenye kamati ya Wazee wa CCM wa kusafisha wenye tuhuma za reoort ya CAG, kikwete na Pinda ndio viongozi wa kamati hio ya kuwaombea watuhumiwa msamaha kwa Raisi.
Hivi vizee corona iliviachaje kuendelea kuleta usumbufu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…