Katibu Tawala Mpya Manispaa ya Temeke Asisitiza Uchapakazi na Ufanisi

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
KARIBU TEMEKE NDG. ALI SAID ALI, KATIBU TAWALA MANISPAA YA TEMEKENi Katibu Tawala Mpya aliyet...webp

Katibu Tawala mpya wa Manispaa ya Temeke, Ndg. Ali Said Ali, amesisitiza umuhimu wa uchapakazi na ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya watumishi wa umma ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Ndg. Ali ameyasema hayo leo, Oktoba 20, 2026, baada ya kushiriki kikao cha Kamati ya Kudumu ya Baraza la Madiwani ya Manispaa ya Temeke inayoshughulikia Masuala ya Uchumi, Afya na Elimu.

Baada ya kikao hicho, Katibu Tawala huyo alikutana na kuwasalimia wajumbe wa Timu ya Menejimenti ya Manispaa ya Temeke, ambapo alisisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii, kujituma na kuhakikisha majukumu yanatekelezwa kwa ufanisi.

Ujio wa Ndg. Ali Said Ali unatarajiwa kuimarisha ushirikiano katika usimamizi na uratibu wa shughuli za utawala ndani ya Manispaa ya Temeke, kwa kuzingatia wajibu wa kila mtumishi katika kuwahudumia wananchi.

Manispaa ya Temeke imemkaribisha Katibu Tawala huyo mpya na kuahidi kumpa ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yake.

Attachments

  • KARIBU TEMEKE NDG. ALI SAID ALI, KATIBU TAWALA MANISPAA YA TEMEKENi Katibu Tawala Mpya aliyet...webp
    KARIBU TEMEKE NDG. ALI SAID ALI, KATIBU TAWALA MANISPAA YA TEMEKENi Katibu Tawala Mpya aliyet...webp
    51.4 KB · Views: 8
  • KARIBU TEMEKE NDG. ALI SAID ALI, KATIBU TAWALA MANISPAA YA TEMEKENi Katibu Tawala Mpya aliyeteu.webp
    KARIBU TEMEKE NDG. ALI SAID ALI, KATIBU TAWALA MANISPAA YA TEMEKENi Katibu Tawala Mpya aliyeteu.webp
    49.6 KB · Views: 5
K
View attachment 3694850

Katibu Tawala mpya wa Manispaa ya Temeke, Ndg. Ali Said Ali, amesisitiza umuhimu wa uchapakazi na ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya watumishi wa umma ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Ndg. Ali ameyasema hayo leo, Oktoba 20, 2026, baada ya kushiriki kikao cha Kamati ya Kudumu ya Baraza la Madiwani ya Manispaa ya Temeke inayoshughulikia Masuala ya Uchumi, Afya na Elimu.

Baada ya kikao hicho, Katibu Tawala huyo alikutana na kuwasalimia wajumbe wa Timu ya Menejimenti ya Manispaa ya Temeke, ambapo alisisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii, kujituma na kuhakikisha majukumu yanatekelezwa kwa ufanisi.

View attachment 3694852

Ujio wa Ndg. Ali Said Ali unatarajiwa kuimarisha ushirikiano katika usimamizi na uratibu wa shughuli za utawala ndani ya Manispaa ya Temeke, kwa kuzingatia wajibu wa kila mtumishi katika kuwahudumia wananchi.

Manispaa ya Temeke imemkaribisha Katibu Tawala huyo mpya na kuahidi kumpa ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yake.

View attachment 3694853
Katibu Tawala wa Manispaa ya Temeke!?!?
 
Back
Top Bottom