PreGE2025 Katibu wa BAVICHA Mtaa wa Msasani, Tunduma 'No Reforms No Election' ina mpango wa kuipendelea team Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu.

Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana wengi Tunduma wameshindwa kuelewa lengo hasa la kampeni hiyo, hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya viongozi wa chama hicho tayari wameshatangaza nia ya kugombea nafasi za ubunge katika uchaguzi ujao.

Kwa mujibu wa Elisha, kampeni ya Lissu inaonekana kuwa na ajenda ya siri ya kuingiza “Team Lissu” bungeni huku ikilenga kuiweka pembeni “Team Mbowe”, jambo ambalo linaweza kuligawa na kulidhoofisha chama.

Ameeleza kuwa badala ya kuhamasisha umoja, kampeni hiyo inazua migawanyiko isiyo ya lazima ndani ya CHADEMA.

Akiwasihi wanachama wa CHADEMA katika Tunduma, Elisha amewataka kupuuza siasa za upendeleo na kuzingatia maslahi ya chama kwa ujumla. Amesisitiza kuwa siasa safi ni zile zinazojenga mshikamano, sio zinazotengeneza makundi na misuguano isiyo na tija.

View attachment 3286829
Duh! kweli CCM bado ipo sana kwa akili hizi
 
Katoa mawazo yake ila ataishia kuitwa majina ya hovyo na watu wa hovyo wanaojihisi wao ni wakamilifu na mawazo yao tu ndio sahihi!
 
Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu.

Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana wengi Tunduma wameshindwa kuelewa lengo hasa la kampeni hiyo, hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya viongozi wa chama hicho tayari wameshatangaza nia ya kugombea nafasi za ubunge katika uchaguzi ujao.

Kwa mujibu wa Elisha, kampeni ya Lissu inaonekana kuwa na ajenda ya siri ya kuingiza “Team Lissu” bungeni huku ikilenga kuiweka pembeni “Team Mbowe”, jambo ambalo linaweza kuligawa na kulidhoofisha chama.

Ameeleza kuwa badala ya kuhamasisha umoja, kampeni hiyo inazua migawanyiko isiyo ya lazima ndani ya CHADEMA.

Akiwasihi wanachama wa CHADEMA katika Tunduma, Elisha amewataka kupuuza siasa za upendeleo na kuzingatia maslahi ya chama kwa ujumla. Amesisitiza kuwa siasa safi ni zile zinazojenga mshikamano, sio zinazotengeneza makundi na misuguano isiyo na tija.

Kama ni kweli ameyasema hayo, basi huyo atakuwa ni miongoni mwa wale mashetani waliopandikizwa CHADEMA, na kile chama shetani..

NO REFORM NO ELECTION ni tamko lilikuwa limetolewa na kamati kuu ya Mbowe, kabla hata ya Lisu kuchaguliwa, halafu mtu atamke kuwa ililetwa kuwahujumu watu wa Mbowe, huyu si atakuwa mwehu!!
 
Hata kujiekeza tu hajui ametumwa tu hajakariri vizuri maelekezo ya director
 
Hoja zake zijibiwe tusisingizie kuwa atu katumwa.
 
Kama ni kweli ameyasema hayo, basi huyo atakuwa ni miongoni mwa wale mashetani waliopandikizwa CHADEMA, na kile chama shetani..

NO REFORM NO ELECTION ni tamko lilikuwa limetolewa na kamati kuu ya Mbowe, kabla hata ya Lisu kuchaguliwa, halafu mtu atamke kuwa ililetwa kuwahujumu watu wa Mbowe, huyu si atakuwa mwehu!!
Kuna watu bado wanafikiria kwamba dunia ipo palepale
 
Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu.

Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana wengi Tunduma wameshindwa kuelewa lengo hasa la kampeni hiyo, hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya viongozi wa chama hicho tayari wameshatangaza nia ya kugombea nafasi za ubunge katika uchaguzi ujao.

Kwa mujibu wa Elisha, kampeni ya Lissu inaonekana kuwa na ajenda ya siri ya kuingiza “Team Lissu” bungeni huku ikilenga kuiweka pembeni “Team Mbowe”, jambo ambalo linaweza kuligawa na kulidhoofisha chama.

Ameeleza kuwa badala ya kuhamasisha umoja, kampeni hiyo inazua migawanyiko isiyo ya lazima ndani ya CHADEMA.

Akiwasihi wanachama wa CHADEMA katika Tunduma, Elisha amewataka kupuuza siasa za upendeleo na kuzingatia maslahi ya chama kwa ujumla. Amesisitiza kuwa siasa safi ni zile zinazojenga mshikamano, sio zinazotengeneza makundi na misuguano isiyo na tija.

View attachment 3286829

Topic za kijinga na kitoto. Mabadiliko ya sheria za uchaguzi yanakuwaje na faida kwa mtu binafsi😂
 
Kijana acha uongo, woga na uvivu, fear for unknown....
Jiunge piga kazi ya No reform ili uhesabike.
 
Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu.

Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana wengi Tunduma wameshindwa kuelewa lengo hasa la kampeni hiyo, hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya viongozi wa chama hicho tayari wameshatangaza nia ya kugombea nafasi za ubunge katika uchaguzi ujao.

Kwa mujibu wa Elisha, kampeni ya Lissu inaonekana kuwa na ajenda ya siri ya kuingiza “Team Lissu” bungeni huku ikilenga kuiweka pembeni “Team Mbowe”, jambo ambalo linaweza kuligawa na kulidhoofisha chama.

Ameeleza kuwa badala ya kuhamasisha umoja, kampeni hiyo inazua migawanyiko isiyo ya lazima ndani ya CHADEMA.

Akiwasihi wanachama wa CHADEMA katika Tunduma, Elisha amewataka kupuuza siasa za upendeleo na kuzingatia maslahi ya chama kwa ujumla. Amesisitiza kuwa siasa safi ni zile zinazojenga mshikamano, sio zinazotengeneza makundi na misuguano isiyo na tija.

View attachment 3286829
nae aunganishwe na akina sugu, aida Kenan kwaajili ya training pale HQ tar 3.4.2025.

maana inasemekana waliotangaza nia ya urasi, ubunge na udiwani hawaielewe no reform no elections 🤣
 
...laigwanani Tundu alishindwa kupata kura za huruma, pamoja na kampeni za chafu za CHADEMA.

...kampeni zlizo chafua uwanja wa siasa Tanzania, kwa kuipaka nchi kana kwamba haifuati demokrasia, kumbe ilikuwa geresha ya Ugaidi na uhasi wa chama chao.

Chagua kwa umakini na uangalifu 2025

MAGULIFICATION must go on
 
vijana wengi Tunduma wameshindwa kuelewa lengo hasa la kampeni hiyo, hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya viongozi wa chama hicho tayari wameshatangaza nia ya kugombea nafasi za ubunge katika uchaguzi ujao.

...nadhani ingesomeka "vijana wengi duniani"
wameshindwa kuelewa lengo la kampeni yao.💨

ikumbukwe pia ...sera za CHADEMA ni kususasusa.

👇🏿labda nusu mkate? aah ongeza na za wenzako
fb_img_1680258242993-jpg.2572153
 
Hapite hivi huyo chawa,hatuna muda tena wa kupoteza.#no reform no election.
Uchaguzi utafanyika na washindi kitangazwa. Leo eti Chadema izuie uchaguzi hiyo ni ndoto ya mchana. Bora mkashiriki kuna watu wengi tu watawapa kura kuliko hiki kituko mnachojaribu kukileta. Kama hamjanipanga kupiga kampeni sababu ya ukata bora mseme kuliko hiki kituko.
 
Back
Top Bottom