The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Duh! kweli CCM bado ipo sana kwa akili hiziElisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu.
Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana wengi Tunduma wameshindwa kuelewa lengo hasa la kampeni hiyo, hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya viongozi wa chama hicho tayari wameshatangaza nia ya kugombea nafasi za ubunge katika uchaguzi ujao.
Kwa mujibu wa Elisha, kampeni ya Lissu inaonekana kuwa na ajenda ya siri ya kuingiza “Team Lissu” bungeni huku ikilenga kuiweka pembeni “Team Mbowe”, jambo ambalo linaweza kuligawa na kulidhoofisha chama.
Ameeleza kuwa badala ya kuhamasisha umoja, kampeni hiyo inazua migawanyiko isiyo ya lazima ndani ya CHADEMA.
Akiwasihi wanachama wa CHADEMA katika Tunduma, Elisha amewataka kupuuza siasa za upendeleo na kuzingatia maslahi ya chama kwa ujumla. Amesisitiza kuwa siasa safi ni zile zinazojenga mshikamano, sio zinazotengeneza makundi na misuguano isiyo na tija.
View attachment 3286829
Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu.

Kuna watu bado wanafikiria kwamba dunia ipo palepaleKama ni kweli ameyasema hayo, basi huyo atakuwa ni miongoni mwa wale mashetani waliopandikizwa CHADEMA, na kile chama shetani..
NO REFORM NO ELECTION ni tamko lilikuwa limetolewa na kamati kuu ya Mbowe, kabla hata ya Lisu kuchaguliwa, halafu mtu atamke kuwa ililetwa kuwahujumu watu wa Mbowe, huyu si atakuwa mwehu!!
Makamanda wanakwama wapi ? Wajifunze Huu ustarabu kutoka kwako.Hoja zake zijibiwe tusisingizie kuwa atu katumwa.
Na wewe ni mjinga kama uyo???Katoa mawazo yake ila ataishia kuitwa majibu ya hovyo na watu wa hovyo wanaojihisi wao ni wakamilifu na mawazo yao tu ndio sahihi!
Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu.
Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana wengi Tunduma wameshindwa kuelewa lengo hasa la kampeni hiyo, hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya viongozi wa chama hicho tayari wameshatangaza nia ya kugombea nafasi za ubunge katika uchaguzi ujao.
Kwa mujibu wa Elisha, kampeni ya Lissu inaonekana kuwa na ajenda ya siri ya kuingiza “Team Lissu” bungeni huku ikilenga kuiweka pembeni “Team Mbowe”, jambo ambalo linaweza kuligawa na kulidhoofisha chama.
Ameeleza kuwa badala ya kuhamasisha umoja, kampeni hiyo inazua migawanyiko isiyo ya lazima ndani ya CHADEMA.
Akiwasihi wanachama wa CHADEMA katika Tunduma, Elisha amewataka kupuuza siasa za upendeleo na kuzingatia maslahi ya chama kwa ujumla. Amesisitiza kuwa siasa safi ni zile zinazojenga mshikamano, sio zinazotengeneza makundi na misuguano isiyo na tija.
View attachment 3286829
Hahahaha nimeona hapo juu kaitwa ChawaKatoa mawazo yake ila ataishia kuitwa majibu ya hovyo na watu wa hovyo wanaojihisi wao ni wakamilifu na mawazo yao tu ndio sahihi!
HahahahaNa wewe ni mjinga kama uyo???
nae aunganishwe na akina sugu, aida Kenan kwaajili ya training pale HQ tar 3.4.2025.Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu.
Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana wengi Tunduma wameshindwa kuelewa lengo hasa la kampeni hiyo, hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya viongozi wa chama hicho tayari wameshatangaza nia ya kugombea nafasi za ubunge katika uchaguzi ujao.
Kwa mujibu wa Elisha, kampeni ya Lissu inaonekana kuwa na ajenda ya siri ya kuingiza “Team Lissu” bungeni huku ikilenga kuiweka pembeni “Team Mbowe”, jambo ambalo linaweza kuligawa na kulidhoofisha chama.
Ameeleza kuwa badala ya kuhamasisha umoja, kampeni hiyo inazua migawanyiko isiyo ya lazima ndani ya CHADEMA.
Akiwasihi wanachama wa CHADEMA katika Tunduma, Elisha amewataka kupuuza siasa za upendeleo na kuzingatia maslahi ya chama kwa ujumla. Amesisitiza kuwa siasa safi ni zile zinazojenga mshikamano, sio zinazotengeneza makundi na misuguano isiyo na tija.
View attachment 3286829
vijana wengi Tunduma wameshindwa kuelewa lengo hasa la kampeni hiyo, hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya viongozi wa chama hicho tayari wameshatangaza nia ya kugombea nafasi za ubunge katika uchaguzi ujao.
Uchaguzi utafanyika na washindi kitangazwa. Leo eti Chadema izuie uchaguzi hiyo ni ndoto ya mchana. Bora mkashiriki kuna watu wengi tu watawapa kura kuliko hiki kituko mnachojaribu kukileta. Kama hamjanipanga kupiga kampeni sababu ya ukata bora mseme kuliko hiki kituko.Hapite hivi huyo chawa,hatuna muda tena wa kupoteza.#no reform no election.