johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wapi Pascal Mayalla?Changamkia fursa hiyo mzee wa kutupa CV
Leslie Mbena
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi Pascal Mayalla?Changamkia fursa hiyo mzee wa kutupa CV
Leslie Mbena
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Takukuru---NGATAAATAKUKURU wako likizo[emoji1]
Mayalla kishazeeka , miaka 67 bado mnataka aendelee kuhangaika jf na corona yote hii ?Wapi Pascal Mayalla?
Takalulu
Labda karudia kazi ya U-mcWapi Pascal Mayalla?
Hivi ile ndoa yake kule Mombasa vipi, bado ipo?!SASA HUYU WAKIMTOA HUKO ATAFANYA MISHE GANI ZAIDI?
KUISHI KWA KUPIGA TANTALILA URAIANI HUKU HAKUNA
ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Alikuwa Bibi Ya Band!!Kuna kipindi fulani aliolewa Mombasa Kenya,sasa sijui ndoa yake iliishia wapi. Hizi taarifa zilitolewa na wana UVCCM wenzake wakati wa mchakato wa uchaguzi wa ndani.
CCM na rushwa ni mapacha wafananaoView attachment 1700064
Anatuhumiwa kushiriki rushwa wakati wa mchakato wa kumpata Meya wa Manispaa hiyo
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mh Magufuli akiwa ziarani Mkoani humo
Atajijua mwenyewe huko.SASA HUYU WAKIMTOA HUKO ATAFANYA MISHE GANI ZAIDI?
KUISHI KWA KUPIGA TANTALILA URAIANI HUKU HAKUNA
ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Aisee!Kuna kipindi fulani aliolewa Mombasa Kenya,sasa sijui ndoa yake iliishia wapi. Hizi taarifa zilitolewa na wana UVCCM wenzake wakati wa mchakato wa uchaguzi wa ndani.
Jamaa analazimisha apate nauli ya kurudi Mombasa?View attachment 1700064
Anatuhumiwa kushiriki rushwa wakati wa mchakato wa kumpata Meya wa Manispaa hiyo
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mh Magufuli akiwa ziarani Mkoani humo
Ndiyo maana alikimbia usiku usiku kutoka KenyaNilijua .Maana dogo anapenda sana pesa
CC:kipara kipyaView attachment 1700064
Anatuhumiwa kushiriki rushwa wakati wa mchakato wa kumpata Meya wa Manispaa hiyo
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mh Magufuli akiwa ziarani Mkoani humo
Duh!Hivi ile ndoa yake kule Mombasa vipi, bado ipo?!
Ataenda kuvua ngisi na pweza ZenjiSASA HUYU WAKIMTOA HUKO ATAFANYA MISHE GANI ZAIDI?
KUISHI KWA KUPIGA TANTALILA URAIANI HUKU HAKUNA
ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mkuu umemsahau M/Kiti wenu Taifa anavyogawa rushwa ya vyeo ili wamuimbie yale mapambio na zile nyimbo za kumsifu??Nilijua katika yote hili litakufurahisha sana bwashee!
CCM hailei wala rushwa.
Wameingia mitini wao na Bia yetu.Wapi Pascal Mayalla?
CCM sidhani kama wana ujasiri ! wale wabeba mabegi na waratibu 2020 hawakupewa fungu! haramu?Nilijua katika yote hili litakufurahisha sana bwashee!
CCM hailei wala rushwa.