Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa

Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa

usanii huu hapa , unamsimamisha Shaka unamuacha mtoa rushwa !

View attachment 1700232
Mkuu sheria ya mlarushwa ni kukamata tupa ndani na kupeleka mahakamani.Mbona mkuu mnalindana.Mkuu wa takukuru wa Mkoa.hakujua hili au na yeye alishiriki.mpaka Rais amlipue jukwaani.Hii ni sawa na raisi kufanya kazi ya balozi wa nyumba 10.Rungu lianzie kwa Takukuru kama hili ni kweli na si majungu.Huku ni kulindana.Kama ni kweli acha vyombo husika vimshughulikie na kupata ukweli na ndipo hatua zichukuliwe.Alitajwa mwingine anaitwa Aika.Haya, kesho atatajwa Kakwaya.Maisha taratibu.
 
Mbona rushwa ni jadi kwa wanasiasa wa ccm hasa kipindi cha uchaguzi,maeneo mengi mameya wamepatikana baada ya kuonga madiwani,huyu shaka katumika kama mbuzi wa kafara,victim of circumstances
Kabisa mkuu. Huyu dogo wangemsamehe maana hao watoa rushwa ambao ni meya wa sasa wangemuua maana meya wa sasa kuna tetesi alitoa mil mia nne na ikatokea dogo akasimamia ukweli meya wa sasa akashindwa, ndiyo kuna mtu wa karibu na mwenyekiti akamdanganya matokeo yake mtoa rushwa huyu akawa meya. Yaani CCM ni rushwa rushwa, ubunge kila mbunge katoa rushwa ndiyo maana kila mbunge anataka uwaziri arudishe hela yake.
 
Hailei vipi wakati aliyetoa rushwa anaachwa aendelee na umeya?
Tena kurudi kwa umeya huyu mtoa rushwa ndiyo salama ya dogo huyu katibu, maana wangemuua kutoa mil mia nne na ukose umeya. Pia kuna watu wa system watakuwa walikula rushwa kwa meya wakaandika uongo. So sad, hivi hii nchi tufanyeje iwe na waadilifu?????
 
Bila kuiondoa ccm mtaendelea kulia tu .
 
Back
Top Bottom