Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mataga wote mtajikuta nje ya meza muda si mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1700064
Anatuhumiwa kushiriki rushwa wakati wa mchakato wa kumpata Meya wa Manispaa hiyo.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mh Magufuli akiwa ziarani Mkoani humo.
====
Katibu CCM asimamishwa kwa rushwa, Magufuli asema…
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamidu Shaka, amesimamishwa kazi na chama hicho, kupisha uchunguzi wa tuhuma za kula rushwa kutoka kwa madiwani wakati wa mchakato wa upatikanaji wa meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro
Taarifa hiyo imetolewa leo Alhamisi tarehe 11 Februari 2021, na Rais wa Tanzania, John Magufuli, wakati anazindua Soko Kuu la Mkoa wa Morogoro.
Licha ya kutomtaja jina, Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti huyo wa CCM Taifa, amesema, Shaka atajadiliwa kwa tuhuma za kula rushwa za madiwani.
“Na bahati mbaya, hata utafutaji wa meya hapa ulijaa rushwa ndio maana katibu wa CCM hapa tumemsimisha kazi, atajadiliwa kwa sababu alikula rushwa kwa madiwani,” amesema Rais Magufuli.
Rais Magufuli alitoa taarifa hiyo wakati anazungumzia upatikanaji wa meya wa manispaa hayo, Pascal Kihanga, ambapo amesema hakustahili kuwa Meya wa Manispaa ya Morogoro.
Rais John Magufuli
Kiongozi huyo wa CCM Taifa, amesema aliyestahili kuwa meya wa manispaa hiyo hamkurudisha, hivyo amemuagiza Kihanga kusimamia wananchi waliomchagua.
“Na wewe mstahiki meya nataka ubadilike, najua umeupata umeya wa bahati bahati hapa, mimi napenda kuzungumza ukweli. Nasema uongo ndugu zangu? Hukutakiwa kuwa meya, aliyetakiwa sikumrudisha kuwa meya,” amesema Rais Magufuli.
Madiwani wa Halmshauri ya Manispaa ya Morogoro, walifanya uchaguzi wa meya tarehe 23 Novemba 2020, ambapo majina mawili yalifungana kwa zaidi ya mara tatu, baada ya kura zao kufanana kila walipopigiwa.
Baada ya majina hayo kufungana, uchaguzi huo ulirudiwa tarehe 1 Disemba 2020, ambao pia walifungana kwa kupata kura 21 kila mmoja.
Madiwani waliofungana walikuwa ni Seifu Chomoja na Paschal Kihanga, ambapo majina yao yalipelekwa katika Kamati Kuu ya CCM Taifa, ambayo ilirlirudisha jina la Kihanga.
View attachment 1700230
DuhView attachment 1700064

Sijui lolote kwenye hiloYasemekana anapenda kushiriki michezo ya Mombasa ni kweli!?
Ndio maana wengine tunsema CCM ni lichama la hovyo.. Leo huyu ndio Katibu wenu wa Itikadi na uenezi.Nilijua katika yote hili litakufurahisha sana bwashee!
CCM hailei wala rushwa.
Huko mwambasa yeye Ni mtalii au kivutio Cha wataliihaijaisha kwani bado huwa anaenda mwambasa
Ni mke wa mtu huko.Huko mwambasa yeye Ni mtalii au kivutio Cha watalii
Ni mchezaji mwandamiziYasemekana anapenda kushiriki michezo ya Mombasa ni kweli!?
[emoji28][emoji28][emoji28]Leo kateuliwa kuwa katibu mwenezi wa ccm taifa. "Mimi na magufuli ni kitu kimoja" kweli kiswahili cha bara na visiwani nimeamini kuwa ni lugha tofauti
Hiyo ndoa imeongezeka hadhiKuna kipindi fulani aliolewa Mombasa Kenya,sasa sijui ndoa yake iliishia wapi. Hizi taarifa zilitolewa na wana UVCCM wenzake wakati wa mchakato wa uchaguzi wa ndani.
Hapo mwishoni ongeza sauti.....hatujakusikia vizuri bwashee!Nilijua katika yote hili litakufurahisha sana bwashee!
CCM hailei wala rushwa.
Hivi kuna ccm ngapi ?Ukifika Kule kilimanjaro, ukumbuke pia kumtumbua Miriam Kaaya, Katibu wa CCM wilaya ya moshi vijiji na vunjo. Kila rushwa kwa wajumbe waliotia nia kugombea ubunge 2020
Duh...!.Wapi Pascal Mayalla?
Itabidi arudi Mombasa kwa Mume wake
Huyo ndio shaka hamduni shaka mwenye tuhuma ya jpm ya rushwa. Ndio eti katibu mwenezi wa ccm taifa.😂😂View attachment 1700064