Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa

Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa

“Na bahati mbaya, hata utafutaji wa meya hapa ulijaa rushwa ndio maana katibu wa CCM hapa tumemsimisha kazi, atajadiliwa kwa sababu alikula rushwa kwa madiwani,” amesema Rais Magufuli.

Rais Magufuli alitoa taarifa hiyo wakati anazungumzia upatikanaji wa meya wa manispaa hayo, Pascal Kihanga, ambapo amesema hakustahili kuwa Meya wa Manispaa ya Morogoro.
Rais John Magufuli
Makubwa sana haya, kutoka mla Rushwa Hadi kuwa Katibu Mwenezi, si ataeneza Rushwa tu
 
Huyu mbwiga ana kismati sana aliwahi kufukuzwa uanachama kabisa akiwa kiongozi wa uvccm wakati alipoolewa kule Mombasa baadaye kashfa ikayeyuka kimya kimya leo hii anakula mema ya CCM
Unashanga nini wakati yule msagaji aliye kuwa mtangazaji radioni yupo white house MAGOGONI ana mfanyia massage mama yako NA YULE GAY MWINGINE YUPO WHITE HOUSE UNGUJA .
Hayo ndiyo mambo ya wahisiharamu ndugu yangu.
 
HABARI_ Rais John Magufuli amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimemsimamisha ka ( 345 X 640 ).jpg


Anatuhumiwa kushiriki rushwa wakati wa mchakato wa kumpata
Ila jamaa ana jicho
 
Back
Top Bottom