Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa

Mtu kasimamishwa kwa rushwa na kabla uchunguzi wa tuhuma husika aliyemsimamisha anaaga dunia na aliyesimamishwa anarejeshwa kazini bila maelezo yoyote hadharani kama alivyotuhumiwa hadharani ni uthibitisho CCM hakina maadili mema na viongozi wake uaminifu ni wa shaka sana.

Mkuu wa mkoa fulani alikuwa Mbeya kahamishiwa Katavi baada ya kuboronga kwa kuhujumu juhudi za kuwawezesha wamachinga kupata vitambulisho kisha aliyesimamisha anaaga dunia na aliyesimamishwa anarejeshwa kazini na mrithi wa mamlaka tena kwenye mkoa wenye changamoto lukuki ambako anaanza kuonesha kwa kiasi gani wamachinga alivyokuwa anawachukia, anatoa tamko na madhara kawa wahanga yanaonekana bayana.

Tanzania inatakiwa kuongozwa na chama cha upinzani au kuwa na wabunge wa upinzani asilimia 60% ili kuipa adabu CCM ambayo inatenda matendo ya kumdharirisha aliyekuwa rais lakini madhara wanayapata wananchi wasio na uwezo kiuchumi.
1. Machinga
2.Rushwa
3. Uonevu
4.Dhuluma
5. Majivuno na dharau kwa wapiga kura
6. Visasi dhidi ya viongozi waliochukia na kuchukua hatua dhidi ya maonezi
7. Chuki
8.Unyanyasaji kwa vyama pinzani kuendesha shughuli zake halali za kisiasa
9. Kuthamini vitu vya nje badala ya kuhimiza kujitegemea kwa kuzingatia uwepo wa rasirimali
10. Maneno mengi bila vitendo vinavyoeneka kwa tija na kuthaminiwa na wananchi
11. Kutosikiliza kero zinazowasumbua wananchi wa kawaida badala yake wenye nguvu za kiuchumi ndio wanapewa nafasi kubwa
Nk kwa uchache ni mambo machache yaliyochafua taswira ya taifa kwa kisingizio cha kurejesha mahusiano na nchi za nje

Wananchi wana hasira sana na vitendo vinavyotendwa kwa sasa vinavyoonesha vinatekelezwa kuharibu utaratibu uliokuwa umewekwa na hayati JPM ili waifute imani kutoka miongoni mwa wananchi lakini raia hawakubaliani kabisa.
 
Hiyo ndio ccm sasa
 
Huyu mbwiga ana kismati sana aliwahi kufukuzwa uanachama kabisa akiwa kiongozi wa uvccm wakati alipoolewa kule Mombasa baadaye kashfa ikayeyuka kimya kimya leo hii anakula mema ya CCM
 
Ndio mwenezi taifa CCM na rushwa ni kama chupi na ta...k..o
 
Wahusika wa fitna hizi wanapigwa chini taratibu, baadhi wameondoka katika chaguzi za chama mwaka huu
 
Hahahaha...
Sasa kama ni mla rushwa ilikuwaje wakampandisha cheo kuwa Katibu wa itikadi na uenezi taifa wa chama cha mafisadi ?!!!
 
Huyu mbwiga ana kismati sana aliwahi kufukuzwa uanachama kabisa akiwa kiongozi wa uvccm wakati alipoolewa kule Mombasa baadaye kashfa ikayeyuka kimya kimya leo hii anakula mema ya CCM
Rushwa ya ngono labda ilitumika kurudi. Jee nani katafuna kutoa ushawishi arudi na kupaishwa?
[emoji1787][emoji1787] hamkawii kusema kule kwa zakuambiwa changanya na zako

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
ILIKUWAJE AKAPEWA TENA CHEO KABLA YA TUHUMA ZAKE KUJADILIWA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…