peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Acha majungu,kwani umesahau enzi za kuunga juhudi,kama amejiridhisha bora kuunga juhudi upande wa pili poa tu.CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai.
Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.
Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM.
Cha kushangaza zaidi leo jumapili alikuwa kwenye hotel fulani na viongozi wa chama fulani cha upinzani.
Ushauri wangu Kwa Chama Tawala, Huyu Katibu yuko mbioni kuuza jimbo kuanzia Serikali Za mitaa uchaguzi wake 2024 na atamizia na uchaguzi mkuu 2025.
Kukinga ni bora kuliko kupanga.
Kwa hiyo Jimbo liuzwe?Kwani wana uadui?
Hivi unaikinga ccm uko siriaz kweli??CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai.
Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.
Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM.
Cha kushangaza zaidi leo jumapili alikuwa kwenye hotel fulani na viongozi wa chama fulani cha upinzani.
Ushauri wangu Kwa Chama Tawala, Huyu Katibu yuko mbioni kuuza jimbo kuanzia Serikali Za mitaa uchaguzi wake 2024 na atamizia na uchaguzi mkuu 2025.
Kukinga ni bora kuliko kupanga.
Yeye ndio ametandika sokoni majimbo?Kwa hiyo Jimbo liuzwe?
Hili chama kweli limejifia! Yaani Makonda kumbe ana mamlaka hadi kapewa rungu?
Wewe utakuwa mtu wa ovyo sana kuwahi kutokea. Ni sera ipi ya chama inayomkataza kiongozi au mtendaji wa CCM kuwa na uhusiano mzuri na Viongozi au wanachama wa chama pinzani? CCM tukiendekeza watu wenye mawazo kama ya mleta mada, tutakuwa tunaligawa taifa. Huyu ana mwendelezo wa siasa za kipumbavu tulizozipitia hapo nyuma.CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.
Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM.
Cha kushangaza zaidi leo jumapili alikuwa kwenye hotel fulani na viongozi wa chama fulani cha upinzani.
Ushauri wangu Kwa Chama Tawala, Huyu Katibu yuko mbioni kuuza jimbo kuanzia Serikali Za mitaa uchaguzi wake 2024 na atamizia na uchaguzi mkuu 2025.
Kukinga ni bora kuliko kuponya
Anafanya kazi ya chama,aliyotumwa.CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.