Katibu wa CCM wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro ameharibu uchaguzi wa ndani kwa kuchukua fomu za wagombea wa Kata zote kabla hazijajadiliwa

 
 
 
Pascal , Pitia Kanuni Za uchaguzi ndani ya ccm pamoja na Katiba ya chama cha mapinduzi Ili uweze kufuta hii kauli yako.

Kila siku nakupa chapuo uwe Dc na Dc ni mjumbe wa Kamati ya siasa ya ccm ya wilaya ungepata cheo hicho ndicho ungeshauri chama ngazi ya wilaya Haya uliyoyaandika?
 
Hali ya kisiasa Jimbo la Hai ndani ya uchaguzi wa ndani wa CCM waendelea kuchukua Sura mpya na kuchafuka baada ya Jana Katibu wa CCM wilaya kupigana na mjumbe wa Kamati ya siasa ya wilaya baada ya kuelezwa uchaguzi anaoufanya wa kuvuruga uchanguzi.
 
 
Katibu wa CCM wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro ameanza kurudisha fomu Za wagombea wa ngazi ya kata alizizichukua tarehe 21.6.2022 kinyemela.

Hai kwa Hali ilivyo Hakuna uchaguzi wa kata ngazi ya chama Wala vikao vya kujadili Majina ya wagombea.
 
Kumbe ubadhilifu na wizi kwenye chaguzi ni mambo yenu ya ndani CCM? Mshauri wa kujitolea wa CDM na mtetezi wa W-19 unaona nongwa kwa mtu kutumia uhuru wake kutoa maoni juu ya dhuluma za kiuchaguzi?

Kama ndani yenu kungekuwa na njia wazi na rafiki za kutoa maoni anatafuta kukaa huru kumfikisha ujumbe? Mwache amwage mboga ili wengine watendewe haki .
 
Hata mie nmeshangaa,ce utapeli kwetu ni kawaida
 
Hlo halitotokea karibuni ktk nchi hii iliyojaa nguchiro
Hakuna ofisi ya CCM wilaya Tanzania yenye sanduku la maoni.
Sasa sanduku la maoni kwenda ccm tunapitia Jf na isipowafikia na wakaisoma na kuto kuzifanyia kazi 2025 CCM itakuwa KANU.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…