Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga.
Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi ambaye maisha yake aliyatumia katika kuijenga CCM na kuhakikisha kuwa chama kinaendelea kuwa imara, tumaini la wananchi, Sauti ya watu ,kimbilio la watu wote na jibu kwa kero za watu.
Binafsi nilimfahamu vyema sana na tulifahamiana naye vyema sana pale ambapo nami pia nilikuwa katibu wa jumuiya ngazi ya kata . Tulifanya naye kazi kwa ukaribu sana . Alikuwa ni kiongozi mwenye upendo na ukarimu sana. Alikuwa mcheshi na Mwalimu asiyechoka kufundisha na kuelekeza. Alitupatia hamasa na moyo wa kufanya kazi bila kukata Tamaa wala kuchoka .
Kwa hakika tutamkumbuka kwa mema aliyotutendea. na Daima tutamkumbuka sana.
Amepigana vita iliyo njema ,Imani ameilinda na Mwendo ameumaliza Salama.
pumzika kwa Amani Katibu.😭😭😭