Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 1,727
- 2,548
Umejuaje mdau atakufa vibaya mkuuHata wewe utakufa tu tena utakufa vibaya sana.
Kubali maoni yake, usitumie hisia kujibu
Rip
Umejuaje mdau atakufa vibaya mkuuHata wewe utakufa tu tena utakufa vibaya sana.
Kifo ni kifo Tu, sasa unatwambia Sisi tufanyeje?Ndugu zangu Watanzania,
Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga.
Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi ambaye maisha yake aliyatumia katika kuijenga CCM na kuhakikisha kuwa chama kinaendelea kuwa imara, tumaini la wananchi, Sauti ya watu ,kimbilio la watu wote na jibu kwa kero za watu.
Binafsi nilimfahamu vyema sana na tulifahamiana naye vyema sana pale ambapo nami pia nilikuwa katibu wa jumuiya ngazi ya kata . Tulifanya naye kazi kwa ukaribu sana . Alikuwa ni kiongozi mwenye upendo na ukarimu sana. Alikuwa mcheshi na Mwalimu asiyechoka kufundisha na kuelekeza. Alitupatia hamasa na moyo wa kufanya kazi bila kukata Tamaa wala kuchoka .
Kwa hakika tutamkumbuka kwa mema aliyotutendea. na Daima tutamkumbuka sana.
Amepigana vita iliyo njema ,Imani ameilinda na Mwendo ameumaliza Salama.View attachment 3396166
pumzika kwa Amani Katibu.😭😭😭View attachment 3396042
Bado Lissu.Wacha idadi ya uzao wa shetani ipungue
Makiwa kwa wafiwaNdugu zangu Watanzania,

Post zako hua ni za kuusaka uteuzi utaonekana tu zidisha na uchawaNani kakwambia kuwa natafuta uteuzi hapa mimi.
Kama ndiyo huyu, basi alikuwa Mbwiga kweli. Rest in peace Katibu wetu wa ccm.Ndugu zangu Watanzania,
Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga.
Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi ambaye maisha yake aliyatumia katika kuijenga CCM na kuhakikisha kuwa chama kinaendelea kuwa imara, tumaini la wananchi, Sauti ya watu ,kimbilio la watu wote na jibu kwa kero za watu.
Binafsi nilimfahamu vyema sana na tulifahamiana naye vyema sana pale ambapo nami pia nilikuwa katibu wa jumuiya ngazi ya kata . Tulifanya naye kazi kwa ukaribu sana . Alikuwa ni kiongozi mwenye upendo na ukarimu sana. Alikuwa mcheshi na Mwalimu asiyechoka kufundisha na kuelekeza. Alitupatia hamasa na moyo wa kufanya kazi bila kukata Tamaa wala kuchoka .
Kwa hakika tutamkumbuka kwa mema aliyotutendea. na Daima tutamkumbuka sana.
Amepigana vita iliyo njema ,Imani ameilinda na Mwendo ameumaliza Salama.View attachment 3396166
pumzika kwa Amani Katibu.😭😭😭View attachment 3396042
Mimi sitafuti uteuzieti "mamlaka zinapitaga mtandaoni" ukiwa chawa pro. utapata uteuzi! utasubiri san
Naomba uwe na busara.Kama ndiyo huyu, basi alikuwa Mbwiga kweli. Rest in peace Katibu wetu wa ccm.