Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Wacha idadi ya uzao wa shetani ipungueNdugu zangu Watanzania,
Ni majonzi na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga.
Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi ambaye maisha yake aliyatumia katika kuijenga CCM na kuhakikisha kuwa chama kinaendelea kuwa imara, tumaini la wananchi, kimbilio la watu wote na jibu kwa kero za watu.
Binafsi nilimfahamu vyema sana na tulifahamiana naye vyema sana pale ambapo nami pia nilikuwa katibu wa jumuiya . Tulifanya naye kazi kwa ukaribu sana . Alikuwa ni kiongozi mwenye upendo na ukarimu sana. Alikuwa mcheshi na Mwalimu asiyechoka kufundisha na kuelekeza. Alitupatia hamasa na moyo wa kufanya kazi.
Kwa hakika tutamkumbuka kwa mema aliyotutendea na Daima tutamkumbuka sana.
Amepigana vita iliyo njema ,Imani ameilinda na Mwendo ameumaliza Salama.
pumzika kwa Amani Katibu.😭😭😭View attachment 3396042
Wakiuwawa wa upande wa pili unapiga kimyaNdugu zangu Watanzania,
Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga.
Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi ambaye maisha yake aliyatumia katika kuijenga CCM na kuhakikisha kuwa chama kinaendelea kuwa imara, tumaini la wananchi, Sauti ya watu ,kimbilio la watu wote na jibu kwa kero za watu.
Binafsi nilimfahamu vyema sana na tulifahamiana naye vyema sana pale ambapo nami pia nilikuwa katibu wa jumuiya ngazi ya kata . Tulifanya naye kazi kwa ukaribu sana . Alikuwa ni kiongozi mwenye upendo na ukarimu sana. Alikuwa mcheshi na Mwalimu asiyechoka kufundisha na kuelekeza. Alitupatia hamasa na moyo wa kufanya kazi bila kukata Tamaa wala kuchoka .
Kwa hakika tutamkumbuka kwa mema aliyotutendea. na Daima tutamkumbuka sana.
Amepigana vita iliyo njema ,Imani ameilinda na Mwendo ameumaliza Salama.
pumzika kwa Amani Katibu.😭😭😭View attachment 3396042
Mwizi wa kura ametangulia?
Ashukuriwe bwana
Na watu wote tuseme Ameni
Wacha idadi ya uzao wa shetani ipungue
Subhanallah!Siyo dalili njema hii!Wakiuwawa wa upande wa pili unapiga kimya
Hata wewe utakufa tu tena utakufa vibaya sana.Mwizi wa kura ametangulia?
Ashukuriwe bwana
Nani kakwambia kuwa natafuta uteuzi hapa mimi.Utateuliwa wewe sasa maana ni kazi isiyo na qualifications zozote
Rip Katibu
Akina nani hao.Wakiuwawa wa upande wa pili unapiga kimya
Huna akili.Mungu chukua na mwenyekiti wao
Kwani kuna kufa vizuri? Wewe ulijaje kuna kufa vibaya wakati bado upo hai?Hata wewe utakufa tu tena utakufa vibaya sana.
Acha ujinga na ushetaniWacha idadi ya uzao wa shetani ipungue
Kina mzee KIBAO ( RIP)Akina nani hao.
Ilifaa utangulie ww kibaraka wa wakoloni weusi!Hata wewe utakufa tu tena utakufa vibaya sana.
Dominica njema 😂Nani kakwambia kuwa natafuta uteuzi hapa mimi.