TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga afariki Dunia

Tokea nijue ccm wanahusika na kuuwa na kuteka na kutesa watanzania. Kila mwana ccm akifa naona Kama kafa sisimizi tu.sina mshtuko Tena na mbwa hao hata afe nani.
 
Kifo
Kifo ni kifo tu!
 
Mzee wa Mlowo poleni sana...
 
Ninyi mfe tu kwa wingi, shetani pokea huyo wakala wako. Chukua na kizimkazi manyonyo makubwa kaenda Comoro leo chukulia huko huko lisirudi hapa.
 
Polisi wachunguze kama chadema wanahusika
 
Apumzike kwa amani. Poleni sana wafiwa
 
Mwendo ameumaliza. Pumzika kwa amani mzee wetu
 
Likatwe shina matawi yote yatawanyike πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…